Mama Obama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 1,620
- 1,087
Anadaiwa tsh ngapi ?
Zaidi ya billion 1.3 kodi ya nyumba jengo la NHC. Inaonekana tangu ahamie hajalipa kodi alikuwa akipiga dili. Na Lowassa angeshinda Urais Mbowe angejinyakulia jengo kwa mukatabs wa kijanja, na huyu ndiye kiongozi wa Wapinzani. Hawa watu wanachezea akiri za Watanzania.