Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Kwani wew hawajakutumia katika akaunti au email yako mkuu? Ipo hivi tuition fee kwa kozi za sayansi ni 1.263M, Other fees 214k, na medical fee ni 100k pamoja na hosteli kwa mwaka ni 176,320 kwa mwaka mzima. na kulipa ni kwa benki ya crdb, mpaka ukishatumiwa invoice namba yako mkuu katika akaunti yako ya suasis.
Duuh sasa kama Unapata Mkopo au labdaa unasuburi second bach why ulipee Adaa..!???? Ukilipaa hostel tuu vip utapata hiyo invoice Number..
 
Duuh sasa kama Unapata Mkopo au labdaa unasuburi second bach why ulipee Adaa..!???? Ukilipaa hostel tuu vip utapata hiyo invoice Number..
Ndo hapo kama wew unasubiri mkopo nadhani unatakiwa kusubiri mpaka siku ikifungua chuo maana kuna muda unatolewa kwamba uwe tayari umelipa ada na hosteli. Invoice unapata kabla ya kulipa malipo yoyote.
 
Aaha ok...!! So niitumie kufungua Account yangu ya Sua ndo nitaona hayo mahitajii!??
 
Wakuu,invoice itatumwa kwenye e-mail au suasis?
Watakutumia kwa suasis akaunti yako mkuu. Maana saiv akaunti za suasis yani first years zinasoma kama tayari ni mwanafunzi kwahyo angalia kushoto kwenye menu, kuna vipengele vinakupa mwongozo.
 
Back
Top Bottom