Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Wadau mimi niko mkoani,natakiwa kuenda lini moro...maana wanasema orientation tarehe 30.je mimi nitoke lini huku sasa.msaada
Mkuu safari yako lini? Nipo hapa morogoro, kuwapokea wageni wote na kwenda nao mpaka chuoni kwa wale wanaofikia chuoni na wale wa mtaani pia, kuanzia leo tarehe 28 kwahiyo usisite kunicheki.
 
Mkuu safari yako lini? Nipo hapa morogoro, kuwapokea wageni wote na kwenda nao mpaka chuoni kwa wale wanaofikia chuoni na wale wa mtaani pia, kuanzia leo tarehe 28 kwahiyo usisite kunicheki.
mkuu niko njiani hivi,nipe mawasiliano yako nikucheki
 
Nipo njia panda maana nilichaguliwa hapo SUA tu,pia mkopo ndoivo majanga kwaio sina pa kwenda zaid ya kupambana na hali yangu
Enzi za kikwete bvm walikua wanapewa 100% sasa sijui kama nyie mmebadilishiwa
 
mi natua j4 apo mkuu ni sh ngapi sitaki kugusa hostel kabisa
kama ni chumba cha peke yako vingi vipo ni vya 35 ukiwa mwenyew, na mkikaa wawili inakuwa 40 kwa mwezi. lakini kuna vingine, ni vya watu vinakuwa na vitanda ndani hivyo wengi wanalipa 100,000 watu wa4 kwa semester.
mi hapa forester mwenzio mkuu.
 
kumbe tupo pamoja mkuu icho cha 35 kitakua poa sana vipi jinsi yakuweka booking
 
kumbe tupo pamoja mkuu icho cha 35 kitakua poa sana vipi jinsi yakuweka booking
ishu..inakuwa..uje..mwenyewe..ukicheki...chumba,..pia..kama...hujali..unaweza...book..mapema..hata..bila..kukiona..ila..kwa..siku..unayokuja...sio..mbaya..ukija..kucheki,sehemu..na..mazingira...ya..nyumba..kama..utapenda...unasaini,mkataba..mi..nimetangulia..nipo..huku,so..nimechukua...mapema..chumba.
 
wale,,wa..SUA..third...round...tayari..wameshaachia...tembelea..website..ya..chuo
 
kwa first year aliyepata chumba mazimbu naomba tushare cost unibebe tafazali, 0754350882
 
Back
Top Bottom