Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

kama kichwa kinavosema, mimi nipo second year hapo sua mazimbu natafta mdau anibebe kwa semistar hii, namba yangu 0754350882
 
Wadau Mimi nlikuja apo Sua mwaka Jana nkafutiwa mkopo, ikanbdi nirud home coz ckua na chochte, huu mwaka nmechaguliwa tna Sua bsc.animal science, bt shda bado ni uchumi, nlivokua ktaa nmefanikiwa kuksanya 500,000/-, bt inatakiwa nilipe 945,500/-, swali langu ni je, kunauwezekano wa kusajiliwa bila kukamilisha ada?(kwa maana ya kulipa zile direct cost tu?) Kama kma m2 amefanikiwa kwa hilo anipe uzoefu, maana nmepewa mkopo 0% (means ntapata boom2 ada najilipia) na xaiv bdo npo hom kagera naskilzia upepo, Family support ni 2%.

Nikifanikiwa2 kusajiliwa, itanichkua miez mitatu kulipa ada yote, coz nna shamba la maharage nkivuna mwez wa kwanza ntalipa kila k2, kwa mwenye uzoef anxaidie ni VP ntsajiliwa?
mkuu,jamaa..huwa..wanagoma,kukusajili..kama..hujalipa..ada..ya..nusu..Mwaka/semester..inayotakiwa..chakufanya,ingia..chuo...hata,ukope..kwa..wenzio..ambao...tayari...wamepata...boom,watakuazima...sababu..nawewe...utakuwa..una..uhakika...wa..kupata...boom..baada..ya..kukamilisha...usajili.usikae...kujifungia...nyumbani,hutopata..msaada...njoo..chuo..ongea..na..dean...of..students..pamoja..na..loan..officer,ufanye..taratibu...za..kujisajili..mapema.
 
mkuu,jamaa..huwa..wanagoma,kukusajili..kama..hujalipa..ada..ya..nusu..semester..inayotakiwa..chakufanya,ingia..chuo...hata,ukope..kwa..wenzio..ambao...tayari...wamepata...boom,watakuazima...sababu..nawewe...utakuwa..una..uhakika...wa..kupata...boom..baada..ya..kukamilisha...usajili.usikae...kujifungia...nyumbani,hutopata..msaada...njoo..chuo..ongea..na..dean...of..students..pamoja..na..loan..officer,ufanye..taratibu...za..kujisajili..mapema.
Very true
 
MSAADA WA KUSHARE COST HOSTEL KWA MAIN CAMPUS TAFADHALI
NO. 0629162685
 
Nashkur Mkuu kwa ushauri. Bt naomba pia m2 anaewzakunpokea geto au hostel just nkapata pakulala mwez mmja tukachangia garama, naomba msaada, aya maisha kxaidiana2, apana m2 anawzaktoboa kwa msuli wake mwenyew, PM yko kwngu italpwa na mungu Mkuu!
pole...sana,mkuu...ningekupa..hifadhi..sema..umechelewa,sana...ngoja,nitajaribu..kutafuta..mtu.
 
Hodii mm ni mwana suaso mpya 2019/2020 NAOMBENI USHAURI kati ya BLS na FST ipi ni kozi nzuri?
 
Back
Top Bottom