Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Juru

Senior Member
Jul 25, 2016
136
38
Hapa ni kwa ajili ya kufahamiana zaidi maana tunakua familia moja na kupeana utaratibu, pia hata kukifahamu chuo kwa undani zaidi, bila kusahau kuwekana sawa katika utata wa program husika.

Karibuni.
 
Hapa n kwa ajir ya kufahamiana zaid maana tunakua familia moja na kupeana utaratibu, pia hata kukifahamu chuo kwa undan zaid, bila kusahau kuwekana sawa katika utata wa program husika


Karibu.
koz gan weewe
 
Agriculture engineering hapa bado ku confirm
Kapige ni kozi Mama ya Engineering pale,iko vizuri tuu inakupa uwanja mpana.Ni moja ya wahitimu wa hii kozi undergraduate.Kakomae tuuu siku hizi kuna Mzee Amestaafu ndiyo alikuwa anatishia usalama wa ku exist pale Ni Dr.Mulengera(Huyu alikuwa rigid) ukipita kwake ni miujiza tuu.Kila la kheri any quiry uliza hapa
 
Nawaomba tu wakaze... wasiende kufunua sketi za wadada huko...

Kama kaka zao tumemaliza salama na imani kubwa pia wao watamaliza salama...

Just kuwakumbusha tu hakuna shule ngumu kama 1st year... 3rd...4th year.... Hapo kwa first year wakizubaa nusu la darasa linaweza kurudi Home....
Sure kaka tutajiweka vzur, hasa coz huska
 
Back
Top Bottom