Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,517
- 3,040
mkuu karbu mazimbu nipo palee namii, nitoe # YAKOhabr wakuu..bsc.wth education(biolgy&chemistry) sua inapatikana? naomben majibu nifanye maamuzi yalio sahihi
mkuu karbu mazimbu nipo palee namii, nitoe # YAKOhabr wakuu..bsc.wth education(biolgy&chemistry) sua inapatikana? naomben majibu nifanye maamuzi yalio sahihi
ushaur mzrNimemaliza hiyo course ktk department of agricultural engineering and land planning chini ya prof. Mpanduji. Ila daaah mdogo wangu sikufichi kabisa Mimi nimemaliza 2016 ila tumeisoma namba kitaa mpka sasa, na hata walomaliza mwaka 2015 walikua 9 tu. Ila bado wapo mtaani wanasota sana, kipindi namaliza walikuja vijana wa st Joseph baada ya chuo chao kufungwa. Kuna wengine wamejoin na hawa walomaliza mwaka huu wanafika hata 100. Na wengine walijoin na hawa wanamaliza mwakani wale ndo wako ka 200 aiseee fikiria jam hiyo.
Mimi nimeamua kupiga zangu ujasiriamali , chamsingi wewe ukienda hiyo usitegemee ajira sana uwe na plan B tunza pesa zako sana uje ujikte kwenye ujasiamali kama sisi kaka zako, nakwambia ukweli ili ujioange AGE haina dili kabisa Kwa sasa, sasa hiv nimesikia mkuu wa department ni baanda salim
Naombeni info ya BSc with education[/QUOTE
Mie kila nikijaribu kudownload invoice inakataa cjui kwann msaada jmnNdo hapo kama wew unasubiri mkopo nadhani unatakiwa kusubiri mpaka siku ikifungua chuo maana kuna muda unatolewa kwamba uwe tayari umelipa ada na hosteli. Invoice unapata kabla ya kulipa malipo yoyote.
Naomba kujuzwa kwani semister ya kwanza unatakiwa kulipa ada yote auTwende wote mkuu, kesho kutwa
Kama upo dar.
Hyo ni mwaka wa kwanza je kwa semister ya kwanza unatakiwa kulipa kias gan jmn msaada plzKwani wew hawajakutumia katika akaunti au email yako mkuu? Ipo hivi tuition fee kwa kozi za sayansi ni 1.263M, Other fees 214k, na medical fee ni 100k pamoja na hosteli kwa mwaka ni 176,320 kwa mwaka mzima. na kulipa ni kwa benki ya crdb, mpaka ukishatumiwa invoice namba yako mkuu katika akaunti yako ya suasis.
Kwani wew hawajakutumia katika akaunti au email yako mkuu? Ipo hivi tuition fee kwa kozi za sayansi ni 1.263M, Other fees 214k, na medical fee ni 100k pamoja na hosteli kwa mwaka ni 176,320 kwa mwaka mzima. na kulipa ni kwa benki ya crdb, mpaka ukishatumiwa invoice namba yako mkuu katika akaunti yako ya suasis.
Je natakiwa kulipa ada yote ya mwaka wa kwanza kwa semister ya kwanza au nalipa kias gan kwa semister ya kwanzaKuhama chuo kama ana mkopo itamsumbua sana labda awe mvumilivu maana inaweza choma hata semester nzima bila kupata boom, kuhama tcu zamani walikua wanatoa nafasi za kuhama but kwa utaratibu wa sasa hivi sijajua labda ajaribu kufatilia vyuo vyote alikopangiwa na anapotaka kwenda
Gharama hapa sua inategemeana na mkopo % ulizopewa but ada kozi nyingi ni 1263,000/= (main campus) , + 93,000/= otherfees, + 60,00/= bima ya afya ya sua kama unayo bima ya afya basi unalipia 40,000/=
Mkuu namba nichek namba hii 0656911116Tarehe 30 mwezi huu Mkuu hakika atutakua nae
Unalipa nusu kwa semesterJe natakiwa kulipa ada yote ya mwaka wa kwanza kwa semister ya kwanza au nalipa kias gan kwa semister ya kwanza
Unalipa nusu ada ambayo jumla na direct costs ni kama 945,500/= mkuuHyo ni mwaka wa kwanza je kwa semister ya kwanza unatakiwa kulipa kias gan jmn msaada plz
Kwani we wameshakutumia hizo invoices number?Mie kila nikijaribu kudownload invoice inakataa cjui kwann msaada jmn
unataka uende wapi mkuu??Mi nimechaguliwa BTM hapo SUA lakin sina uhakika kama nitaenda tarehe 30 ya orientation na kusoma hapo maana nipo njia panda
Nipo njia panda maana nilichaguliwa hapo SUA tu,pia mkopo ndoivo majanga kwaio sina pa kwenda zaid ya kupambana na hali yanguunataka uende wapi mkuu??
pole mkuu tupo pamoja tusubiri hiyo batch ya3 sijui ni liniNipo njia panda maana nilichaguliwa hapo SUA tu,pia mkopo ndoivo majanga kwaio sina pa kwenda zaid ya kupambana na hali yangu
Tujipe moyo,Mungu atafungua njiapole mkuu tupo pamoja tusubiri hiyo batch ya3 sijui ni lini
Direct Cost zinafika sh.ngapi jumla.mkuu!??Unalipa nusu ada ambayo jumla na direct costs ni kama 945,500/= mkuu