Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Jamani kama kuna mtu anajua Utaratibu wa kufanya transfer chuo kimoja kwenda kingne mana kuna rafiki angu kapata UDOM lakn alikua anataka kuja SUA upoje Utaratibu wake na vp inaezekana hilo la kwanza jambo la pili kwa anaefaham semister ya kwanza kwa mwaka wa kwanza gharama zake zipoje kuanzia ada na mengneyo plz msasda
Kuhama chuo kama ana mkopo itamsumbua sana labda awe mvumilivu maana inaweza choma hata semester nzima bila kupata boom, kuhama tcu zamani walikua wanatoa nafasi za kuhama but kwa utaratibu wa sasa hivi sijajua labda ajaribu kufatilia vyuo vyote alikopangiwa na anapotaka kwenda

Gharama hapa sua inategemeana na mkopo % ulizopewa but ada kozi nyingi ni 1263,000/= (main campus) , + 93,000/= otherfees, + 60,00/= bima ya afya ya sua kama unayo bima ya afya basi unalipia 40,000/=
 
Wadau mimi niko mkoani,natakiwa kuenda lini moro...maana wanasema orientation tarehe 30.je mimi nitoke lini huku sasa.msaada
 
Nimetafuta Joininga instruction.Mtandaoni nimekosaa..!!
Ivii mahitajii unapoanza chuo na gharamaa zikojee...!?? Zilee ambazo unatakiwa kulipia Bank..!????
 
Nimetafuta Joininga instruction.Mtandaoni nimekosaa..!!
Ivii mahitajii unapoanza chuo na gharamaa zikojee...!?? Zilee ambazo unatakiwa kulipia Bank..!????
Kwani wew hawajakutumia katika akaunti au email yako mkuu? Ipo hivi tuition fee kwa kozi za sayansi ni 1.263M, Other fees 214k, na medical fee ni 100k pamoja na hosteli kwa mwaka ni 176,320 kwa mwaka mzima. na kulipa ni kwa benki ya crdb, mpaka ukishatumiwa invoice namba yako mkuu katika akaunti yako ya suasis.
 
Mkuu msaada,wamesema orientation inaanza tarehe 30.mimi ni wakuripoti mazimbu...je nitoke mkoni lini,natakiwa kuwa sua lini?.asante
Mkoa gani unatoka? Kuna utaratibu umewekwa kwa wale watakaowahi kufika mapema kabla ya tarehe husika ama kipind cha orientation kupatiwa chumba hosteli. Hivyo unaweza kwenda hata tarehe 28 oktoba sio mbaya.
 
Natoka dar tu mkuu
 
Back
Top Bottom