yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,901
- 4,129
Mkuu akaunti ya mdogo wangu inaandika user name blocked, ni zaidi ya wiki sasa. . Hii inamaana gani mkuu?Wale wa mazimbu nakaribisha maswali
Mkuu akaunti ya mdogo wangu inaandika user name blocked, ni zaidi ya wiki sasa. . Hii inamaana gani mkuu?Wale wa mazimbu nakaribisha maswali
Atakua amekosea password huwa ni 12345 au 1234Mkuu akaunti ya mdogo wangu inaandika user name blocked, ni zaidi ya wiki sasa. . Hii inamaana gani mkuu?
Endelea kuangalia mkuu mikunamshkaji wangu alikua ivyoivyo na Jana usiku nikamchekia nimekuta ampechaguliwa animal science,pia angalia majina yao sua wametoa tayariMkuu akaunti ya mdogo wangu inaandika user name blocked, ni zaidi ya wiki sasa. . Hii inamaana gani mkuu?
Huyu alishachaguliwa tangu mwanzo. Na yupo kwenye majina yasiyokuwa ya multiple selection. Ila saivi imefunguka lakin haina kipya. Inaandika admission in progress until 18th of August.Endelea kuangalia mkuu mikunamshkaji wangu alikua ivyoivyo na Jana usiku nikamchekia nimekuta ampechaguliwa animal science,pia angalia majina yao sua wametoa tayari
Toa muongozo wa hiyo taarifa na sourceKuna taarifa inasema mrudiee ku confirm Leo piaa ndo itakua mwisho wa hilo swala jitahd kijana wetu usi achwe
Mdogo wangu pia kachaguliwa hii course.. Hivi chuo kinafunguliwa tarehe ngapiwakuu nami nitakuwepo SUA water and irrigation

mkuu hizo namba zipo busy mda woteKQA WALE AMBAO ACCOUNT ZAO HAZINA ADMISSION LETTER HD NOW WATOE MREJESHO BAADA YA MAWASILIANO O TUMIA NO.0692762372 / 0765997885
th sme 2me mkuu.Huyu alishachaguliwa tangu mwanzo. Na yupo kwenye majina yasiyokuwa ya multiple selection. Ila saivi imefunguka lakin haina kipya. Inaandika admission in progress until 18th of August.
ni kwel zipo busy bt zinapatikana piga mara kwa mara utawapata mm jana niliongea nao kuhusu admssn lettr na j.instrctn na leo wamentumia mkuu.tayar nmesha print mkuumkuu hizo namba zipo busy mda wote
duh mda gani wewe uliwapata?ni kwel zipo busy bt zinapatikana piga mara kwa mara utawapata mm jana niliongea nao kuhusu admssn lettr na j.instrctn na leo wamentumia mkuu.tayar nmesha print mkuu
Tarehe 30 mwezi huu Mkuu hakika atutakua naeMdogo wangu pia kachaguliwa hii course.. Hivi chuo kinafunguliwa tarehe ngapi