Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Wale wa Solomon Mahlangu mnichek PM kuna shemeji yenu pale nlimwachaga 2012 ana mgahawa wake UNIT ONE njooni niwapeni dili mtakua mnakula bureeeee
Acha kudanganya watu bana... Sema wanatoa pesa once then wanakula na ikiisha wanatoa tena...
 
Maelezo zaid kuhusu kozi ya animal science hapo sua[/

Aim: produce graduates with knowledge in animal production. Such knowledge and skills will enable graduates to either employ themselves or be employed in private or public sector in animal production industry
 
Huyu Jamaa inaonekana ni tishio sana. Maana kuna rafiki yangu alipga AEA pale alikua anamuongelea sana
Huyo kaz ake yy kufundisha semister ya kwanza tyuu anakutia stress toka mwanzo wa semister had mwisho afu ukizubaa anakudaka prob
Mm muhanga wake japo hakunidaka alinipa karai la somo lake ila stress hazikwepek
 
Hahaha AEA Basi ni hatari sana. Maana Jamaa aliniambia alisha kerisha watu huyooo.

Ila kuna Dr mmoja hua wanamsifia sana gabagambi
Na pia main campus kulikua kuna msuya nae alikua tishio wa AEA na yeye
 
Wale mtakaoenda kusoma BVM ...muage nyumbani kabisa.... shule ya mule ndani imesimama...

All in all Hongereni kwa kuchaguliwa katika chuo bora cha kilimo Tanzania....

Karibuni Home of Excellence....
ilikuwa zamn siku hizi mtelemko tuu palee
 
Hahaha AEA Basi ni hatari sana. Maana Jamaa aliniambia alisha kerisha watu huyooo.

Ila kuna Dr mmoja hua wanamsifia sana gabagambi
Na pia main campus kulikua kuna msuya nae alikua tishio wa AEA na yeye
Wale wasua nendeni mkasome shule

Chuo bora cha kilimo
 
Back
Top Bottom