Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Agric engineering inafanana sana na mechanical engineering. Pale department ziko kozi tatu za uhandisi ila agric engineering ina kaugum kake haswa mwaka wa pili na wa tatu!!

Mwaka wa tatu palikua na prof anaitwa Tumbo sema siku hizi sizan kama yupo ila huyu alikua anabeba kijiji anakipeleka mazimbu... Bila kumsahau Dr Baanda na kozi yake ya umeme!!

Ukiwa makin hamna kinachoshindikana...

Nimemaliza hiyo course ktk department of agricultural engineering and land planning chini ya prof. Mpanduji. Ila daaah mdogo wangu sikufichi kabisa Mimi nimemaliza 2016 ila tumeisoma namba kitaa mpka sasa, na hata walomaliza mwaka 2015 walikua 9 tu. Ila bado wapo mtaani wanasota sana, kipindi namaliza walikuja vijana wa st Joseph baada ya chuo chao kufungwa. Kuna wengine wamejoin na hawa walomaliza mwaka huu wanafika hata 100. Na wengine walijoin na hawa wanamaliza mwakani wale ndo wako ka 200 aiseee fikiria jam hiyo.
Mimi nimeamua kupiga zangu ujasiriamali , chamsingi wewe ukienda hiyo usitegemee ajira sana uwe na plan B tunza pesa zako sana uje ujikte kwenye ujasiamali kama sisi kaka zako, nakwambia ukweli ili ujioange AGE haina dili kabisa Kwa sasa, sasa hiv nimesikia mkuu wa department ni baanda salim
 
umefanikiiwa kupata admission letter maana naona wanasema tutapata kwenye account zetu alafu sioni
Admission latter mtazipata tuu japoo c sasa , zenyew zta wasaidia kipnd cha usajil
 
Samahanini wanazuoni, TCU wamesema kua second round application imeanza tar 4 na kuisha Tar 10, sasa bahati mbaya sielewi na apply vipi Kwa Mara ya pili maana sioni hata sehemu ya kuapply
Walisema utaratibu wa Ku apply no ule ule
 
Nimemaliza hiyo course ktk department of agricultural engineering and land planning chini ya prof. Mpanduji. Ila daaah mdogo wangu sikufichi kabisa Mimi nimemaliza 2016 ila tumeisoma namba kitaa mpka sasa, na hata walomaliza mwaka 2015 walikua 9 tu. Ila bado wapo mtaani wanasota sana, kipindi namaliza walikuja vijana wa st Joseph baada ya chuo chao kufungwa. Kuna wengine wamejoin na hawa walomaliza mwaka huu wanafika hata 100. Na wengine walijoin na hawa wanamaliza mwakani wale ndo wako ka 200 aiseee fikiria jam hiyo.
Mimi nimeamua kupiga zangu ujasiriamali , chamsingi wewe ukienda hiyo usitegemee ajira sana uwe na plan B tunza pesa zako sana uje ujikte kwenye ujasiamali kama sisi kaka zako, nakwambia ukweli ili ujioange AGE haina dili kabisa Kwa sasa, sasa hiv nimesikia mkuu wa department ni baanda salim
Hao 9 watakosaje Ajira ,

Mtie Moyo mwenzako , sisi tuliomaliza miaka ya 1990 , hiyo program ilikuwa inalipa sana
 
Agric engineering inafanana sana na mechanical engineering. Pale department ziko kozi tatu za uhandisi ila agric engineering ina kaugum kake haswa mwaka wa pili na wa tatu!!

Mwaka wa tatu palikua na prof anaitwa Tumbo sema siku hizi sizan kama yupo ila huyu alikua anabeba kijiji anakipeleka mazimbu... Bila kumsahau Dr Baanda na kozi yake ya umeme!!

Ukiwa makin hamna kinachoshindikana...
Watie Moyo wenzako

Nafurahi napoona vijana wangu , mnapeana matumaini
 
Back
Top Bottom