Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

shukrani mkuu kwa info,vip kuna changamoto gani kwenye usomaji wa hii kozi hapo SUA
Changamoto zipo nyingi lakin kikubwa ni ushirikiano na wenzako. Kipindi naanza first year pale niliwahi kuambiwa na Mr. Terengia kwamba if you want to walk fast go alone, but if you want to walk a long distance go with your fellows.
 
Kusoma chuo ni kufuata maelekezo ya mseminishaji/mwalimu tuu.Ukileta za kujifanya Deep,kupinga mwalimu anachoeleza inakula kwako mapeeeema Semester ya kwanza tuu.Wewe ukifika weka zingatio katika masomo na misele midogo midogo usiache.Nakumbuka mimi tulikuwa na masela wangu piga sana discussion na misele kama kawa LAKINI MPAKA TUNAMALIZA HATUKUWAHI KUFANYA PROBATION/KURUDIA MTIHANI.na hata mlango wa Library tuliingia siku ya kufanya clearence tulipokuwa tunamaliza.All the best upcoming Engineer
Congratulations brother.
 
Bwashe56 naomba unicheki kwenye no yangu tafadhali 0717579648,nicheki baada ya dk 5
 
Nimemaliza hiyo course ktk department of agricultural engineering and land planning chini ya prof. Mpanduji. Ila daaah mdogo wangu sikufichi kabisa Mimi nimemaliza 2016 ila tumeisoma namba kitaa mpka sasa, na hata walomaliza mwaka 2015 walikua 9 tu. Ila bado wapo mtaani wanasota sana, kipindi namaliza walikuja vijana wa st Joseph baada ya chuo chao kufungwa. Kuna wengine wamejoin na hawa walomaliza mwaka huu wanafika hata 100. Na wengine walijoin na hawa wanamaliza mwakani wale ndo wako ka 200 aiseee fikiria jam hiyo.
Mimi nimeamua kupiga zangu ujasiriamali , chamsingi wewe ukienda hiyo usitegemee ajira sana uwe na plan B tunza pesa zako sana uje ujikte kwenye ujasiamali kama sisi kaka zako, nakwambia ukweli ili ujioange AGE haina dili kabisa Kwa sasa, sasa hiv nimesikia mkuu wa department ni baanda salim
Duuu!! Pole sana brother, lakin plan B ya kujiajiri si IPO na inakubali.
 
Niwapongeze, mimi pia ni Almuni wa sua kwa BSc, MSc, ni shule.

J'aime afya Usiende una malaria iliyojificha au vyovyote.


Pâle pia mjikane nafsi zenu Kidogo.


mtamaliza salama.

Kila la kheri
 
Kwa walio confirm SUA ,baada ya kusubmit kwa email je mmepokea response yyte kutoka kwao ?
 
In Agricultural Engineering na si kama ulivyoandika, lakin nikupongeze sana kwa kuchaguliwa SUA, karibu sana DEST, tutakuwa pamoja mm pia nipo pale naingia third year. Nipo program hiyo hiyo. Karibu sana.

pamoja sana mkuu,nikifika ntakutafuta
 
Back
Top Bottom