Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Hahahahahaaaaaaa Juuuuuuuurrrruuuuuuuuu ad uku upon hahahaaaa am madame Msolid APA say hi to all memic group letu like LA yr 1 hahahahaaaa MPE hi clever na Lupe
Hahaaaaaaaaa, aseee umepoteaaa sana ,ludi ken group bhana lipo active
Fanya ukuje chap
 
Jamani kuna updates zozote huko kwenye acxount za SUA kwa waliovlchaguliwa?
Mimi nikiangalia inaniambia user name is blocked


d1d414be56960e0fdfcbc27ef7fd7871.jpg


7c5f17e49b2fff873211b17ce707604a.jpg
Mbona sijapata majibu hapa wadau. Hi kitu ikoje?
 
We kata baro ,danganya umemaliza miaka ya 90 wakati baanda anakusubiri kwenye engineering ethics SEM 7 pamoja na Avitus kwenye ergonomics SEM 8.Watakapo kupiga vinu vya nyuklia ndo utajua umemaliza 90 au utamaliza 2018 mungu akipenda.
Dogo usofikiri kila mtu humu ni mwanafunzi wengine ni baba zako
 
Nawaomba tu wakaze... wasiende kufunua sketi za wadada huko...

Kama kaka zao tumemaliza salama na imani kubwa pia wao watamaliza salama...

Just kuwakumbusha tu hakuna shule ngumu kama 1st year... 3rd...4th year.... Hapo kwa first year wakizubaa nusu la darasa linaweza kurudi Home....
Waambie Dr.
 
Agriculture engineering hapa bado ku confirm
In Agricultural Engineering na si kama ulivyoandika, lakin nikupongeze sana kwa kuchaguliwa SUA, karibu sana DEST, tutakuwa pamoja mm pia nipo pale naingia third year. Nipo program hiyo hiyo. Karibu sana.
 
Back
Top Bottom