Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

Mimi nimeconfirm SUA mbona hawajanijib email yngu ? Au wanakua hawajib ? Kwa wali confirm nisaidien mmejibiwa ?
 
Mimi nimeconfirm SUA mbona hawajanijib email yngu ? Au wanakua hawajib ? Kwa wali confirm nisaidien mmejibiwa ?
Bimafsi pia nime confirm mara mbili hawajawahi kunijibu. Ila as long as mtu ukishatumiwa admission letter haina shida naona.
 
Duh mimi bado ,hawajanitumia na nimechaguliwa multiple selection na nime confirm kwao
 
Shukraan Mkuu ,najarb sana kuwapigia wanakua hawapokei kabisa
 
Wanaoijua PhD in Agriculture and Rural Innovation by course work na research wanipe maujuzi hapa
 
yeyote aliechaguliwa multiple pale sua akadhibitisha na accn yake inafunguka fresh jitokeze
 
Back
Top Bottom