kiukweli mkopo asimia kubwa wanaangalia shule mtu aliyosoma o-level,kama mtu alisoma shule ya private o level wengi wao wanapewa 0% yani unapewa vyote kasoro ada...ila kama alisoma serikalini inategemea na bahati yake...ila kama alisha pewaga mkopo alafu akaacha chuo huwa kuna percentage flan ya hela aliyopewa before huwa wanataka ilipwe ili uwe considered kama waombaji wengine wa mkopo...Kwa sua suala la ada ni la kuliangalia vizuri before maana usipofanya semister registration, usipo wahi ku postpone semister tayari unakuwa discontinued,Na ili uweze kufanya semister registration inabidi uwe umemaliza ada ya hiyo semister.