Na wewe ndio umetumia akili hapo.......acheni ushabiki wa kijinga...hakuna topic zingine zaidi ya kusema watu bila mpango, ooo watoto wa wakubwa mara wanaccm, yote hii ni wivu....
Kwanza hivyo viwanja mkipewa mtajenga na maneno? waachieni wenye uwezo wa kujenga.
Pumbaaaaa
Basi wewe mpe kiwanja huyo jamaa halafu uone kama atajenga hata banda la kuku. Nyie tunajua mlitumwa kuchafua majina ya watu na ndio maana nasema hii topic ni PUMBAAAA.Tunajua mpo kazini kutetea ugali wenu, ila muwe makini mnapojaribu kupindisha hoja maana hapa wewe ndo umeonekana pumba!! Ujazo wa ufikiri wako umeonesha kuwa haujai hata 'kisoda'! Nakukumbusha kwa manufaa yako kuwa humu umo kwenye JAMII FORUM-THE HOME OF GREAT THINKERS!!! Wakati mwingine uwe mwangalifu na hoja zako mkuu!!
Inawezekana kabisa, mkuu kwasababu kila mtu ana uwezo tofauti wa kufikiri
Basi wewe mpe kiwanja huyo jamaa halafu uone kama atajenga hata banda la kuku. Nyie tunajua mlitumwa kuchafua majina ya watu na ndio maana nasema hii topic ni PUMBAAAA.
Basi wewe mpe kiwanja huyo jamaa halafu uone kama atajenga hata banda la kuku. Nyie tunajua mlitumwa kuchafua majina ya watu na ndio maana nasema hii topic ni PUMBAAAA.
Hivi inawezekana mtu akaomba kuuziwa kiwanja kwa bei ya shiringi Milioni sita(6,000,000) alafu mtu huyo huyo ashindwe kujenga hata banda la kuku? Inaniuma sana kwasababu humu Jf kuna watu mmeamua kuvuruga kila hoja inayoletwa, ilimradi tu inayo wahusu watu walio waajiri kufanya hivyo
Nami najiuliza huyu mtoto miliioni 6 kapata wapi?
[/QUOT
unadhani huyu dogo kanunua hapa mwenye kiwanja kama si riz1 basi mkuu mwenyewe au mama kabisa, mtoto katumika km boya 2
By Omr
Basi wewe mpe kiwanja huyo jamaa halafu uone kama atajenga hata banda la kuku. Nyie tunajua mlitumwa kuchafua majina ya watu na ndio maana nasema hii topic ni PUMBAAAA.
Habari za asubuhi wana Jamvi, mimi ni mmoja kati ya watu walio omba kuuziwa viwanja vya mradi wa Gezaulole Kigamboni, nilichukua form nane moja ya kwangu nyingine ya mke wangu na hizi zingine za wadogo wangu ambao ni watu wazima na hawana makazi, niliamini tutapata japo viwanja viwili vitatu. Lakini cha ajabu orodha imebandikwa rasmi kinyemela pale Manispaa ya Temeke ikionyesha watu wanao stahili kuuziwa hivyo viwanja, sisi hatuja bahatika hata kiwanja kimoja. Kwa haraka haraka nimegundua ili kupata hivyo viwanja inabidi uwe na bahati sana au uwe na jina kubwa kama ambavyo yanasomeka pale Temeke. Baadhi ya watu waliobahatika kupata hivyo viwanja ni.
1.Khalfani Kikwete amepata haki ya kuuziwa kiwanja cha ujazo wa chini(Kikubwa)
2.H. Ghasia amepata haki ya kuuziwa kiwanja cha ujazo wa chini(Kikubwa)
3.M. Mwandosya amepata haki ya kuuziwa kiwanja ila hawaja-specify aina ya kiwanja anachotaka.
Hawa ni watu wachache tu kati ya orodha ndefu ambayo kutokana na moyo wangu kuumizwa sana sikuendelea kuisoma.
Inaniuma sana kati ya form nane hakuna mwenye sifa za kuuziwa kiwanja na serikali? kwasababu tuliambiwa kiwanja kimoja tutashindanishwa watu watatu. Na kama ushindani ulikuwa mkubwa inakuwaje mtu amepata kuuziwa kiwanja ambacho bado specifications zake zinafanyiwa kazi?
Source: Ubao wa matangazo manispaa ya Temeke
pumbaaaaa
Na wewe ndio umetumia akili hapo.......acheni ushabiki wa kijinga...hakuna topic zingine zaidi ya kusema watu bila mpango, ooo watoto wa wakubwa mara wanaccm, yote hii ni wivu....