Natamani siku ambayo wana JF tutakusanyika mahali na kila mmoja akajitambulisha kwa jina lake analolitumia humu. Mimi nafurahia ushauri wa watu wengi wanaoutoa humu ila nimejifunza kwamba kumbe wanawake aina ya mke wangu wako wengi, mmojawapo NIVEA!
Niko Poa Mamito.
Niko Basini naelekea Lushoto-Tanga.
Missng uu.
Ndio ujifunze mkeo sio wa ajabu kihivyoo. Unahitaji kujua udhaifu wa mwenzio na kum-complete. Pale ulipo dhaifu yeye anasimama kwa ajili yako na kukufanya uonekane mwanaume wa maana. You should do the same. Ukiwa negative hata jf tu itakuchosha.
teh teh wewe ciello maisha hayana formula kwani kila mtu anaishi kwa utashi wake so usiseme unajifunza toka kwa mtu kumbe sivyo utakavyoishi wewe muhimu ni kujitambua na kufahamu unahitaji nini nini haupendi
Hapa imenibidi nimwingize Wiyelele jamani
Nimeistukia hii post!Wow mamito.
Lichune mpaka libaki nyama tu.
Me najiandaa kung'oa Buzi kwa hawa watakao toka AraChuga kwenda Tanga.
Najua MODS wanaweza kudhani hii ni Chit Chat..lakini naomba wasiipeleke huko kabisa kwa sababu hii ni KWELI kabisa...na members wenzangu nilikuwa naomba kwa moyo wa Kitanzania kila mtu atambue watu wake sita ambao kupitia THREADS au POSTS zao WAMEBADILISHA au WAMEONGEZA KITU katika ufahamu wake wa jinsi ya kukabiliana na MAHUSIANO au URAFIKI in 2012... Binafsi nashukuru baadhi ya watu kupitia PM au hapa Jamvini wamekiri kuridhishwa na SHAURI zangu....LAKINI mganga HAJIGANGI na mimi pia ninao watu sita ambao KIUKWELI wamenisaidia sana KUIMARISHA NDOA yangu...OMBI langu kupitia HUU UZI naomba kila mmoja awatambue watu wake SITA ambao KUPITIA SHAURI/POSTS/THREADS zao basi basi mambo yao yamebadilishwa na kama sio kuboreshwa kabisa....Wa kwangu Mie ni hawa:
1 Mtambuzi
2 gfsonwin
3 snowhite
4. The Boss
5. Dark City
6. Father of All
N:B Naomba tuwe Serious Jamani ili tuwaenzi wale waliotusaida..hii itasaidia watu kutoa mawaidha na kuacha utoto..
Mie natafuta kazi naomba uniajiri shosti...
Wow mamito.
Lichune mpaka libaki nyama tu.
Me najiandaa kung'oa Buzi kwa hawa watakao toka AraChuga kwenda Tanga.
A soul sister ameongea hapa!Ndio ujifunze mkeo sio wa ajabu kihivyoo. Unahitaji kujua udhaifu wa mwenzio na kum-complete. Pale ulipo dhaifu yeye anasimama kwa ajili yako na kukufanya uonekane mwanaume wa maana. You should do the same. Ukiwa negative hata jf tu itakuchosha.
karibu saluni, je utaweza kuchua misuli ya wababa?
Tatizo maujuz yameniishia niPM bac unipe dokezo!
hebu funguka !ni nini ako mbaya jamani?Nimeistukia hii post!
dah, ina maana na mimi sijatoa ishu za maana humu jf? nipendeleeni na mimi jamani...lol....ila kiukweli nawakubali wafuatao: kongosho, lara1, kaunga, mzizimkavu, boflo kwa vituko vyake, mtambuzi,gfsonwin,to mention a few kwani wengi mmenisaidia sana kuwa na msimamo fulani ktk maisha haya. asanteni sana na mbarikiwe sana Inshaallah!