Waliobadilisha Maisha yangu....



Nashukuru Dada, kuona kwamba na mie nimo katika list ya waliobadilisha maisha yako, to say the truth, I have become speechless.
To be an inspiration to a Lady and one of JF's solid pillars (JF seems empty without your highly educative threads), to say the least is an inspiration on my side... Frankly speaking, I am flattered.

Lastly, I would like to congratulate you on your latest attempt, trying to straighten some of us who are turning "Jukwaa la Wakubwa" into a Porn site.
Good work, Sister.. keep it up..!!:yo:
 
jamani, huko mimi nilishakimbia kitambo, mapenzi hayagawanyiki...... mimi napenda kwa moyo, hayo ya nusu nusu siyawezi. sasa huyo TANMO atakapokuwa kwa Preta mimi inakuwaje? lol!

Huyu anatuchonganisha tu Dia, Usimsikilize.
 

Attachments

  • sad_face-600x450.jpg
    25 KB · Views: 53
Lol! Come prepared rafiq, am fully armored hapa... :fencing:

Thanks AshaDii,
Wajua mwanzo eti nilidhniaga wewe na FaizaFoxy (where is she??) ni either mtu mmoja au mashostito, sema baadae nikaja nikagundua mko na mitizamo tofauti juu ya Siasa za hapa Tanzania
 
Last edited by a moderator:
AshaDii dah mie sina mengi ya kusema lakini kiukweli kati ya wa2 wanaoni-inspire humu ndani kwa namna moja ama nyingine u are in my top two,stay blessed & much love
 
Last edited by a moderator:



asante kwa kutukumbuka katika urithi wako , tutakutumikia
kwa miaka mia mingi zaidi. endelea kuwa babu wa kila mjuu
wapya, na wakongwe, endelea kutupa hadithi za Kinjikitile
na vita vya majimaji. kwani story za babu zina leta fundisho
kwa wengi. ni sisi wajukuu wako tukupendao kwa dhati ..

Ubarikiwe sana na uone vitukuu.
@Asprin
​
 
mimi umenisahau kwenye orodha yako.
 
1.NYUMBA KUBWA-ukiachana na mke wangu,huyu amenifanya niamini WANAWAKE WA KWELI kama walivyokuwa mama zetu bado wapo duniani.

2.KAUNGA-napenda sana namna anavyoushirikisha ubongo wake katika michango yake,huwa nadhani huwa anaushirikikisha ubongo wake 99% anapoandika kitu.

3.BOFLO-huyu amenifanya nijifunze kuheshimu haki za makundi mbalimbali ya binadamu hata kama haki zao ni tofauti na mtizamo wako na msimamo wako

4.BALANTANDA-kama kuna watu wanajua kupenda timu bila kujali zinawaumiza kiasi gani huyu jamaa yuko ktk sayari ya pekee!jinsi anavyoipenda timu inayomkera kila siku ya arsenal,akimpenda mkewe japo nusu ya upendo alionao kwa arsenal BASI MKEWE YU SALAMA SANA.

5.NAJIVUTIA MIMI MWENYEWE!najikubali namna ambavyo ninavyocheza na maneno kama messi anavyocheza na mpira!sina hata dalili ya kupata ban....mimi ni mfano kwangu mimi mwenyewe!teh teh teh!
 


Well well well!

ODM akayaweka maneno haya moyoni mwake,
Akanyanyua macho yake juu akasema....
"Baba ikikupendeza uniepushe na kikombe hiki, Ila mapenzi yako yatimizwe"
Kisha akainamisha kichwa chake chini na kusema,
"Tazama baba, sasa waweza niruhusu mtumishi wako niende kwa amani, kwa kuwa macho yangu yamemwona Bwana"

CC: Kaizer , Nikiziangalia mbingu, kazi ya mikono yako
Dark City, Mwezi pia na nyota ulizoziratibisha wewe
Mtambuzi, Mtu ni kitu gani, hata umkumbuke
RR Binadamu ni nani, hata umwangalie
Bigirita, Wewe Mungu Bwana wetu,
Kimey , Jinsi lilivyotukufu jina lako duniani kote....!
Teamo, Watu na wakushukuru, eeh Mungu. Watu wooooote!

AAAAAMIIIINAAAAA!!
 
Last edited by a moderator:

Na wewe ulitakiwa uka padrishwe....
 
Last edited by a moderator:

Mzee mwenzangu, Asprin,

Haya maneno umefundishwa na Askofu yupi???

Nadhani sasa ukombozi umekaribia.....naona ni mwendo wa kutubu na kuliamini neno....Lol!!

Ahsante mzee mwenzangu...ila naomba tukate rufaa mapema Bwana akuongezee dakika kidogo, tusaidiane kuwapa wosia hawa wajukuu akina afrodenz na wenzao!!


Babu DC""
 
Last edited by a moderator:
Na wewe ulitakiwa uka padrishwe....
Umeona ukaamini, heri yao walioamini bila kuona.

Baada ya kutokea hayo walipigwa na mshangao na kukiri "Hakika huyu likuwa Mwana Wa Mungu"
 
Umeona Zion Daughter?

Huyu lazima aliwahi kupitia seminari na inawezekana alitia mpira kwapani siku ya kupigwa zengwe la ushemasi (nasikia ndo siku wanapuliziwa dawa ya kuua ikulu ya chini)....lol!!

Ni kweli mzee mwenzangu Asprin?

Babu DC!!
:becky::becky::becky::becky::majani7:
 
Umeona ukaamini, heri yao walioamini bila kuona.


Baada ya kutokea hayo walipigwa na mshangao na kukiri "Hakika huyu likuwa Mwana Wa Mungu"

Jina lako lingekuwa teracycline basi leo ningedeclara vyupa vingapi unanidai......


Ila sasa hii kidonge mbona sie tunajua kuwa kina rangi moja tu??

Au hapa inatumia ile nguvu ambayo huwavuvia watu kuongea kila aina ya lugha with confidence??

Babu DC!!
 
Wenye afya hawamwitaji daktari, wanaomwitaji ni walio wagonjwa.
Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu.

CC: Zion Daughter
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…