Hahahahaha Kong huachi ushankupe??
Mi ulinipeperushia Malkia wangu humu hivihivi kwa ushankupe wako!
Ila umenikumbusha Mpole alizimika na zile Headphone za studio ya jamaa hahahaha
MTM akaona isiwe tabu bwana na jina akabwaga hahahah
Na ukinijibu vibaya sikwambii siri ya alipo Lizzy
Asante sana na nasubiri mualiko. Kuhusu sura usijali maana nadhani tunafanana! Lol!
Kuna watu hata siwasiliani nao Nawasoma sana tu, na mara nyingi yale ambayo wanaandika ni msingi kwangu na hujifungua/kunijenga na kunikomaza ama tu kunipa angle nyingine ya mtazamo, hasa katika yaliyo msingi kama Nguruvi3, Zitto, Mkandara, Mchambuzi, Sikonge (nae akiamua), MzeeMwanakijiji , JingalaFalsafa, zomba, Jasusi, pascal, Kiranga, Ngongo (hapa na pale), jmushi1, Zakumi, Nsiande, Kiranga, Companero, Father of All, Shark, Molemo, Mag3
P.S:- Ngabu mbona unaniwekea kiwingu cha kuitwa genious?:becky: (Lol!
mwambie AshaDii basi nami nimeona,angalau 1% ktk hiyo 50%mkuu dili la leo ntamtumia 50% hahahahahaha....
Ndege yupi niliyempeperusha? Huyo atakuwa alikuwa keshajifunga parachuti lake
Mie nikawa kisababu tu
Mwambie Lizzy wifi wake wa ukweli anammiss sana
Mwita Maranya much respect kwako mkuu! ingawa najua kiitikadi tuko tofauti kabisa mm na wewe lol! nimekumbuka siku ulonikimbiza kisa nimeishauri cdm sitaisahau na huwa na imagine ningekuwa kwenye upeo wa macho yako ungenifanyaje.......... sijui ni kibao ama ngumi wala sijui hahahah.
Aksante kwa kuniacknowledge hapo kwa red hahahahhah (We si umeiacha vacant so acha nijichukulie ujiko mie).I cant let this thread pass:
wapo wenzangu hasa wa MMU tuliokua na ambao bado tupo karibu since April 2008 nilipokua MTM
wapo wale tuliojenga ujamaa zaidi ya JF na ni wengi zaidi ya 50, I am blessed
wapo tulioenda mbali zaidi na kusaidiana katika kazi, biashara na hata kwenye shida na raha... nimehjudhuria sherehe, misiba, vikao nk. vywa wana JF, majority wakiwa MMU
wapo tuliosaidiana kimawazo kwenye siasa, uchumi, investment n.k
Lakini pamoja na yote hayo, wapo ambao husimama kama outstanding and influential people in life ambao tumekutana JF... in a positive way and negative way!!! about 99% ni positive, ila wapo wachache, ambao kama kawaida kwenye jamii, walijaribu kutumia kujuana kwetu either kufanya character assassination, au hata kujaribu kupanda mbegu ya bad image kwa watu wengine, pengine kutokana na insecurity au kutokujua tu
ALL IN ALL, YUPO MEMBER NIMUONAYE KAMA LUCKY CHARM YANGU.... KILA TULIPOKUA TUKIKUTANA KUPATA STORY, BASI NILIPATA SOMETHING OF A SURPRISE IN MY LIFE, INCLUDING THE CURRENT JOB I AM HAVING
KUDOS MMU, KUDOS JF
Hahahha Da Kongosho huniachii? Hahh yaani afu nilivyokuwa mmbeya mie mwenzenu natamani kweli kuifunua funua hiyo signature ya Paw nione ndani yake but mh naogopa Ban.IT = Individual Talent Source Kongosho
Lazima una talent ambayo wengine hatuna, kwa hiyo wewe ni kinara wa IT -Source Mimi mwenyewe
Nadhani nitaanza kukutafuta ili usinisahau. Tatizo la babu Asprin hataki kustaafu hicho kitengo cha ukaguzi! Hayo mambo ya kukagua kagua watoto wa watu yanamvuruga akili.
wengine woooote, nawapenda jamani Lara1 na wengineo
I cant let this thread pass:
wapo wenzangu hasa wa MMU tuliokua na ambao bado tupo karibu since April 2008 nilipokua MTM
Hahahaha... Pamoja sana gfsonwin mimi na wewe kwenye siasa tunagombana kwa hoja tu hakuna chuki wala ngumi. Hili jina langu nalo wakati mwingine kuna baadhi ya watu wanatishika nalo lakini wale tuliopata kufahamiana nao in real life wanautambua ukweli kwamba mimi ni mtu wa kawaida sana.
Lakini usisahau kwamba tukikutana MMU ama Chit chat ama jukwaa lingine mimi na wewe ni washikaji tunaonge ktk the same frequency hadi huwa natamani siku moja tuonane face to face. Hatahivyo sina historia ya kugombana na akina dada, kwa mujibu ya mafundisho niliyopata kwetu ni mwiko kugombana na mwanamke!!
wengine woooote, nawapenda jamani
Hujui mie ni wifi wa LIzzy tena wa ukweli kabisa??Kweli mikwara inasaidia...
Ahsante Lizzy kwa kupotea utaendelea kuwa fimbo yangu ya kutuliza Konie!!
Halafu huo u-wifi wa wapi? Mbona sikumbuki kuwa na dada kama wewe??
Au ndio ulishajipa ukuwadi kwa mtu?? Nicheke mie!
Namsubiri King'asti tuje tuifumueHahahha Da Kongosho huniachii? Hahh yaani afu nilivyokuwa mmbeya mie mwenzenu natamani kweli kuifunua funua hiyo signature ya Paw nione ndani yake but mh naogopa Ban.
Pamoja sana mkuu.Naomba niwatambue wana MMU wooote jamani ngoja tu nitambue uwepo wa SnowBall, jouneGwalu, Eiyer, Mwita Maranya, Asprin, mwanjamiione, BADILI TABIA na nyumba kubwa .......
Watu hawa michango yao imenigusa sana kupanua mtazamo wangi wa kisiasa Ritz, zomba, Zakumi, Rejao ,Le Mutuz, mohamed Mtoi, Matola, Molemo, Precise pangolin, mwita Maranya, Mungi, MichaelAweda, Kiranga, Mchambuzi; Faizafoxy, Sikonge, Mwanakijiji, Pasco wa JF,Ngruvi3, Mkandara, mohamedsaidi na makamanda wote pamoja wanaoshiriki kwenye mijadala ya JF ila tutukumbuke maneno ya mwanasiasa mkongwe Jonh Shibuda aka Lionel Messi "upinzani si uadui"
Chama
Gongo la mboto DSM
Ile kitu ya mtambuzi ilinifanya nikatoka na machozi kabisa
Kongosho, nakupenda kwa kuwa tunakosana then tunafikia muafaka,