Waliobadilisha Maisha yangu....


Stay cool, stay Strong.

Peace,

Z10
 

JF "Scholar-in Residence", 'who will edit the editor'?
 
aweeew.. sis AshaDii shkran ... nakutakia kheri ya mwaka mpya ........ :glasses-nerdy: :cheer2: Forgotten dreams, memories part, remember to believe, remember to love. Live life to the fullest, it might not be here tomorrow. Enjoy life like it was, it is, your last day. Some things don't last forever, some things are destroyed by fate, by destiny.

usisahau ibada inshaAllah ...

msalimie Mwali
 
Last edited by a moderator:
Dah!!!Mimi kwakusema ukweli kwangu sina chakusema ila kama nilivyowahi kuongea hapa Mimi binafsi sikuwahi kutambua kuna dunia nyingine nyuma ya keyboard!!!Ukweli ndio huu lakini jamii inayokaa kwenye dunia iliyo nyuma ya keyboard nikubwa nainayojiamini sana!!Mimi kwa watu walionifanye nibadlike naomba niseme kuna jamii inayoishi katika dunia ya jamiiforus.com napenda kuipa pongezi za dhati ila kwa ujumla wao nawapenda wote!!Kuwataja majina nashindwa ila kwa bandiko hili nawaomba mjitambue kwa ujumla wenu kuwa nyie nizaidi yangu mimi nawakubali na kuwa heshimu sana nawaombeni mungu awabariki!!
 
Ha ha ha ha, hapo pekundu jani linahusika, si bure

 
Una yako tu yakufanya unichukia, mbona tumetoka mbali sana, leo ndo tukosane kisa theboss wakati sie wote ni wezi Loh, sie twende sawa tu atakayeona ngumu anasepa.
Bishanga yuko bado dodoma anahakiki kura za hapana kwa kuwa aliona nyingi akashangaa kusikia ni moja na moja tu.

Mie ntakupenda siku ukiacha kusarandia nyumbani kwangu tu

Za siku? Bishanga umamficha wapi?
 
Last edited by a moderator:

dah! am very humbled madame...............
but ukweli siwez kuliongelea hili jamvi pas kumtaja Kongosho, King'asti Blaine boss, mwaJ na Mtambuzi napenda sana michango yenu wapendwa ingawa yahitajika sana akili kuweza kung'amua nondo za Kongosho na King'asti manake waweza kukuta jicho ukadhan pua lol! wewe boss yaani unaniachaga hoi kwa vijicoment vyenye harufu ya sintofahamuuuuuuuu nyingiiiiiiiii kuliko kufaham lol! sijuagi huwaga mnawaza nn mnapotoa comment and nataman sana niwaone siku moja.
Mtambuzi wewe stor zako zinatupa akili ya maisha, Blaine u mdogo but you have brain especially ktk social life, mwaJ wewe sijui ni wa tandale ama wa tandika manake lol! kuliko nikutane na mnango mmoja wakwako heri kugongwa na semi trela hahahha!
 
Last edited by a moderator:


Asante Asha.
Shukrani za pekee kwa JF kwa kunikutanisha na wewe, umeendelea kuwa miongoni mwa sababu za uwepo wangu hapa.

Sijasahau mjadala wetu wa kwanza hapa JF, ile april ya mwaka huo lol ni kama jana tu!

Pia kuna watu wengi sana wananifurahisha na huwa natulia kusoma maandishi yao na ninawatambua kwa upekee.
Itoshe wewe kuwawakilisha.
 
AshaDii again.... loh!
yaani nimetajwa mara 2, hahahahaha, leo ntaota ndoto nzuri sana aisee!
halafu kila AshaDii akinitaja humu siku inayofuata napataga dili za maana tu yaani umebarikiwa mamawee sioni wa kukufananisha nae hapa JF.

Dah hata mimi najisikiaga raha sana..Sijui kwa nini dada AshaDii nakuheshimu na nakupenda japo tupo kwenye keyboard....
Na kama kukufananisha huwa nakufananisha na mtu kama Asharose Migiro..
Anyway...am humbled
 
Last edited by a moderator:

Much love Mkuu, hii ni bonge ya post!

Pamoja ndani ya dunia yetu ya JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…