[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]hatariiiNadhani si rahisi kuzungumzia family planning method ukiwa na mtu unakutana nae mara moja moja
Ni tofaut sana kulinganisha na wanandoa,
Mnaweza tu kujikuta tukio fulani limewapelekea mpaka kwenye tendo bila kuplan
Ukihesabu unaona ni siku ya tisa unachukulia poa,
Mwishowe mtu ananasa.
Saa nyingine mtu anakojoa nje kumbe wazungu hawajaisha anachomeka tena,kitu kinanasa!
Umeona eehh!maana zile Nazo kumeza yataka moyoo kaahhKaka kwahiyo wewe hauwezi kumwaga nje na kufika kileleni bila kumwagia kwenye mdomo wa mke wako? Na wao pia tuwaelewe wanaposema wanaona kinyaa kuna vitu siyo lazima kufanya hata kama vinakupa starehe kuna njia nyingi tu ambazo unaweza kufanya baada ya kumwaga nje na ukaridhika bila kumwagia mdomoni kwa mkeo tendo la ndoa siyo kukomoana bali kufurahishana kama mkeo hapendi kumeza hiyo midude yako kwanini umlazimishe?
Ungeoa ambaye anapenda kuimeza maana lazima mlianza kufanya kwenye uchumba na ulishajua kuwa anapenda au hapendi vinginevyo huku kwingine ni kutafuta sababu za kuchepuka au kumuacha mkeo sababu eti kisa tu kakataa kumeza shahawa zako na umempata ambaye kakubali kuzimeza saa nyingine tujiweke kwenye nafasi zao na kujiuliza je wewe ndo ungekuwa yeye ungekubali kufanya hivyo?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] jamani kwani nimedanganya?Hahahaaaa dah
Sawa mmeelewa kakaHii ni miongoni mwa dawa zinazotolewa kwa idhini ya Daktari(Prescription only medicines) ndio maana zinauzwa kinyemela na ukikutwa unauza(hapa niseme kutoa, maana kuuza haijakatazwa sharti pawepo na ruhusa ya Daktari(prescription) ) hizi dawa bila idhini ya Daktari unapigwa faini.
Yaani nilipata picha kaniwekea vidole kama hivi;[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Kweli tena!!!upooo???[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
Hahahahahahaha nimekumbuka last week kuna jamaa alikuwa ananitongoza basi ni vile anaongea sanaaaa na akiongea Mara aniambie upo nyonyo'" Sijui nini ....[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]upoooo????nyonyoooo[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Hahahaaaa!!!!Hahahahahahaha nimekumbuka last week kuna jamaa alikuwa ananitongoza basi ni vile anaongea sanaaaa na akiongea Mara aniambie upo nyonyo'" Sijui nini ....
Nikaona hapa hakuna mwanaume hapa nikasubiri amalize ujinga wake ....nikamwambia Mimi sikutaki kabisaaaa siwezi kua na mtu anaeongea kama wewe ....sipendi mtu mwenye maneno mengi kama chiriku
Lkn baadae si alienda kusafishwa?[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]pole mpenzi wangu...!!!zinatoka hata na antibiotics km Doxy,blufeni (juzi hapa mdogo wangu amepata miscarriage alikunywa blufen hakujua kama ana mimba)
Hivyo vidonge vinauwezo wa kutoa mimba ya miezi mingapi eti?Tena wanaume ndo wanaongoza kushawishi wake zao watoe mimba haswaa wakiwa hawako tayari kulea
Weeee [emoji134]Kweli kabisaa tena ukikosea kwenye mimba ikibaki mtoto anakua taahira
Upo nyonyo?..mwanaume rijali hawezi kuongea huu upupuHahahahahahaha nimekumbuka last week kuna jamaa alikuwa ananitongoza basi ni vile anaongea sanaaaa na akiongea Mara aniambie upo nyonyo'" Sijui nini ....
Nikaona hapa hakuna mwanaume hapa nikasubiri amalize ujinga wake ....nikamwambia Mimi sikutaki kabisaaaa siwezi kua na mtu anaeongea kama wewe ....sipendi mtu mwenye maneno mengi kama chiriku
Kabisa yaani....eti ile upo nyonyo huku kanyanyua vidole juu ....Upo nyonyo?..mwanaume rijali hawezi kuongea huu upupu
Sasa umetumia condom kafa nani!?? This is bullshitMkuu kuua ni kuua tu sio lazima kawe ka-embroy or zygote ndo ihesabiwe umeua. Kumwaga manii/shahawa chini au kwenye kondom nayo ni kuua pia. Kwenye hili dawa ni kusoma kalenda vizuri basi