baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 13,962
- 16,622
Stori sa vijiweni hizo mkuu hakuna deep stateSamahanini kuuliza sio ujinga na sio kosa !
Deep State ni nini ?!
Na huwa ni akina nani na nani ??!
Stori sa vijiweni hizo mkuu hakuna deep stateSamahanini kuuliza sio ujinga na sio kosa !
Deep State ni nini ?!
Na huwa ni akina nani na nani ??!
Wewe ni nabii, unajua?Nakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Toa mavi yako . Malaya mkubwaWatu wanapotea na kuuwawa wewe umebaki kucheka cheka tu humu bila aibu kisa kiburi cha uzima😡😡😡😡
Dola ipi we mjinga? Hiki kinachoongoza nchi KIMABAVU, ni kikundi cha KIGAIDI tu. Hakina baraka za Watanzania. Hakuna aliyepigia kura hawa MAFEDHULI.Acheni kuleta taharuki za kishamba, huyo boya kama dola ikimuhitaji kweli basi inamchukua mchana kweupee mbele yenu na hakuna kenge yeyote wa kufanya chochote.
Sio nabii wala nini, bali ni mtu anayepata taarifa sahihi kutoka vyanzo sahihi na kuzitoa kwa wakati sahihi bila kuchelewa.Wewe ni nabii, unajua?
Chadema ndo wananchi we mbwiga?!! Hiko ni kikundi Cha mawakala wa mashetani watoa kafara za damu wanaosaka madaraka. Kamweee, hamtoiangusha nchi hii. Jipeni moyo tu humu JF mliko na ids buku buku.Dola ipi we mjinga? Hiki kinachoongoza nchi KIMABAVU, ni kikundi cha KIGAIDI tu. Hakina baraka za Watanzania. Hakuna aliyepigia kura hawa MAFEDHULI.
Haswa, na ndivyo walivyo manabii wa kweli.Sio nabii wala nini, bali ni mtu anayepata taarifa sahihi kutoka vyanzo sahihi na kuzitoa kwa wakati sahihi bila kuchelewa.
Kama nyie nyumbu mnavyoipambania familia ya lissu na heche ziishi vzrMajeshi yote yanaipambania familia ya mtu iendelee kuishi vizuri, safi sana
Ni kweli mkuu alindwe, ccm maji yakiwafika shingoni hawana huruma wala utu, kifo cha dereva wake ujue kakoswa yeye.Nakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Kwaa mbaliii unaanza kueleweka sasa
Huu mwezi wenye majina yanayoanza na herufi ya JSAE wawe na tahadhari, kwenye ulimwengu wa roho hali si hali,
Huyu nabii achunguzweHuu mwezi wenye majina yanayoanza na herufi ya JSAE wawe na tahadhari, kwenye ulimwengu wa roho hali si hali,
Ni maneno ya Nabii wa Ishara Tanzania
Hutoa unabii wa taifa na mataifa kila mwanzo wa mwezi,Huyu nabii achunguzwe
Hapo kusema majina yanayoanzia na JSAE wawe chonjo anamaanisha niniHutoa unabii wa taifa na mataifa kila mwanzo wa mwezi,
Na unabii kwa watu binafsi
Msikilize mwanzo mwisho 👇👇👇Hapo kusema majina yanayoanzia na JSAE wawe chonjo anamaanisha nini