Kwenye hili, sina shaka hata kidogo juu yake.Nina mtu pale Oysterbay alinambia heche yuko kwenye target na wameipa mission kabisa
Majibu utayaskia umeme ukirejeaAisee leo nyuzi zimejaa huzuni vipi kuna msiba
Hio sio lugha ya kiume wewe matatizo makubwa zaidiUnapenda sana sifa na uzushi wako hapa na Milamli yako ya kijinga jinga tu
Wewe na Anko T mnatofauti gani ??ni tukanaji na ropokaji la hovyo mno hilo jamaa
Daaaaaah tuliombee taifa inaniuma sana broMajibu utayaskia umeme ukirejea
Makali mno walahi, kwanini watu wana roho za kinyana hivi jamani???Daaaaaah tuliombee taifa inaniuma sana bro
Kumbee na wewe mkuu upo kama mimi tu yaani leo hata sitembei nyuziMakali mno walahi, kwanini watu wana roho za kinya hivi jamani???
Aaah yaani nna wasiwasi uoga masikitiko yarabi sikia kilio chetu.
Acha kabisa mkuu!!Kumbee na wewe mkuu upo kama mimi tu yaani leo hata sitembei nyuzi
Mungu ni mwema ngoja tulaleAcha kabisa mkuu!!
Leo imekua siku ya hovyo sana na usingizi nao unagoma basi tafrani!
😅😅😅😅 kuna watu sijawahi waona wametukana!We unapigwa MITI
Kuna hasira sana yan😅😅😅😅 kuna watu sijawahi waona wametukana!
Mission 56Nina mtu pale Oysterbay alinambia heche yuko kwenye target na wameipa mission kabisa
Haitasaidia kwa hali tuliyonayo sasaLIssu amewatoa nishai sasa wanahamia kwa heche Nchi imeoza hii!
Sijasema itasaidia Potelea Pote Liwalo na liweHaitasaidia kwa hali tuliyonayo sasa
Mamako hana akili, kwani polepole kampeleka wapi?!.Unapenda sana sifa na uzushi wako hapa na Milamli yako ya kijinga jinga tu
CCM nayo Ina thaman gan????Hata utukane vipi lakini ukweli ni kuwa Heche hana Thamani yoyote ile wala umuhimu wa kustahili kulindwa hata kwa dakika moja
Ile 97.6 ya kura milioni 32 ilitokana na AI. Tukija kwenye uhalisia, hata 10% ya kura zote wasingepata.
Alafu huyu unakuta ni single mother
Obvious ni single mother na probably ni barmaid au housemaid au anafanya kazi kwenye hair salon au massage palour.Alafu huyu unakuta ni single mother