Woote hao hawamfikii huyu na brigedi zake
![]()
Nifahamisheni jinsi ya kuweka picha ninazo nyingi sana za mitt romney na obama
![]()
Ahmedinejad na msafara wake, naona wako juu juu kweli sijui ndo wanamuogopa muisrael?
![]()
![]()
mbona umeweka hii vizuri tu...tumia njia hii hii arifu.....
Huyu Ahmadenijad kelele zote anatumia magari ya wamarekani?