Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

mleta mada ninaunga mkono hoja yako.

huyu ni mmoja ya walinzi wanaoambatana sana na rais. kadili siku zinavyoenda anazidi kutoka kitambi. wajifunze kwa walinzi wa marais wa nchi zingine.

hata museven na kagame licha udikteta wao, kwenye misafara yao huwezi kuona mlinzi mwenye kitambi.
View attachment 1066857

Huyo jamaa kwa macho tu, yupo fit vibaya.. second 30 nyingi, kaisha kupoteza ukienda nae hand to hand..... msichukulie poa hiyo miili
 
Huyu mweusi hata Mimi ninegundua ana kauzembe Fulani yaana umakini umepungua .

Siku hizi kaanza kuwa mfuatiliaji wa hotuba za Rais na anacheka kabisa wakati mwezake alikuwa bize sana kutizima usalama wa mzee baba

Hata ADC afande nae naona hayuko makini kama brigedia naniliu yule alipewa majukumu mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachekacheka sana, tena yule mweusi kuna siku alikuwa anasinzia kabisa mbele ya kamera ile siku nilijua viongozi wake wakimuona wangemuondoa kabisa.

5/5
 
Habari!
Leo niliamua kushangaa kidogo ufunguzi wa kiwanda cha unga wa mahindi hapa kambi ya Mlale Songea! Nimefanikiwa kuwa mbele mbele kidogo hivyo tukio zima nimelishuhudia vyema!

Kuna haka ka changamoto ka walinzi wa raisi kuwa na vitambi plus unene usio na mpangilio, hivi hii imekaaje?

Yaani na mazoezi yote wanayofanya bado wanafuga vitambi? Jeshi haliwezi kupanga refresher trainings za kuwaporomoa vile vitumbo?

Kwa nini wasijifunze toka majeshi ya wenzetu?

Raisi anakonda, walinzi wake wananenepa!

Nashauri: Mtu akishindwa kuporomosha tambi lake aondolewe kwenye list ya walinzi wa The first One!

Wanajeshi nanyi hivyo vitambi mnavyofuga mviporomoe asee! Kama mmeshindwa hilo mkapashe misuli kidogo huko makambini au in real battles!!View attachment 1066009View attachment 1066022View attachment 1066023View attachment 1066024

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiishi kwa kukremu ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom