Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

Rais wetu tunampenda sana,chagueni walinzi aged vijana wenye nguvu wapo naamini tena wengi.

Mtu mwenye kitambi kivyovyote utendaji wake hauwezi kuwa na ufanisi wengi wao wana bp na sukari.
Na kitambi ni ishara mtu hafanyi mazoezi.

Unaweza ukatetea wale kazi yao sio kulinda wapo walinzi maalumu wa mapambano.,Mimi nasema hapana coz wale ndio image kuu ya ulinzi wa Rais ndio tunaowaona.

Na kazi anayofanya mh Rais naamini ana maadui wengi sana,hivyo lazima alindwe na watu wenye miili ya kazi.
Wenye vitambi wapewe majukumu mengine.

Naipenda Tanzania.
 
Acha wivu, ukimaliza vitambi,utaanza na llingine shida nini jombi njaa nini ?
 
Watanzania wengi walivyo hata akipata kazi kwenye kampuni nzuri inayojari wafanyakazi wake kwa kuwa na canteen yenye menu nzuri basi unenepa kama kiboko.

Kinachowacost hawa jamaa kwenye misafara ni bufee, kuanzia breakfast hotel nyingi ni buffee, nchana buffee na usiku buffee na wanashushia na bia na hakuna muda wa gym kwenye ziara.

Miaka ya nyuma wakati nafanya kazi za tours nilimsindikiza mgeni airport sasa tuliwahi sana kabla ya muda wa check in, tukapanda pale juu Flamingo yule beberu akalipia buffee mimi na yeye 50,000= yeye akawa busy kula salad na clips mimi nikaondoka na kuku mzima kwanza, kisha nikaanza na king fish hapo sigusi kabisa mchele, kuna muhindi superviser alinikata jicho la hatari nikaona anaagiza wadada waongeze kuku kwenye dishes nikawarudia tena, remember ukilipia buffee no limit na sisi tulikaa pale more than two hours kusubili check in na bia tukawa tunakunywa kwa cash lakini yule Muhindi hawezi kunisahau maisha yake yote. Buffee inawapa sana faida huwezi kula thamani ya uliyolipia ila wakikutana na vivuruge huwa tunaover spend.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona wewe umeamua kuchamsha uzi.
 
Rais wetu tunampenda sana,chagueni walinzi aged vijana wenye nguvu wapo naamini tena wengi.

Mtu mwenye kitambi kivyovyote utendaji wake hauwezi kuwa na ufanisi wengi wao wana bp na sukari.
Na kitambi ni ishara mtu hafanyi mazoezi.

Unaweza ukatetea wale kazi yao sio kulinda wapo walinzi maalumu wa mapambano.,Mimi nasema hapana coz wale ndio image kuu ya ulinzi wa Rais ndio tunaowaona.

Na kazi anayofanya mh Rais naamini ana maadui wengi sana,hivyo lazima alindwe na watu wenye miili ya kazi.
Wenye vitambi wapewe majukumu mengine.

Naipenda Tanzania.
Wanafanya kwa mazoea sana!
 
Mlinzi wa mama Janeth Magufuli naye ajitafakari
images%20(1).jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom