comrade wetu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 964
- 605
Sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo ushangae mzee. ni vile hakuna drill zozote za kumtaka raisi, mtu akijipanga fresh anaondoka na raisi asubuhi.
Nyegezi ndiyo kazini kwenu mkuu na huyo jamaa??Kuna jamaa tulikua nae pale nyegezi naona kala shavu full mkitambi namuona nyuma ya Mzee baba mara nyingi siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niliwahi kumuonaga kituo fulani cha police miaka ya nyuma hiviWanaomtambua wamejua namaanisha nini mkuu jukwaa kubwa hili salute!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui kitu huyo achana nae...Kwani kuna siri gani pale rafiki? Yaani kunenepa ndo uone hatuelewi? We might know more than u think u know papaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wamenenepa baada ya kuwa walinzi wa Rais.
Ishu sio kunenepa au kukonda cha muhimu kutimiza majukumu ya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzao akienda kulala anakula mahindi ya kuchoma wao wanakula kitimoto na bia
Najaribu kuwaangalia na wa Marekani, China, Urusi, Korea Kaskazini na Rwanda naona wengi Wao ni Wembamba na Kwao Kunenepa ' hovyo ' siyo sehemu yao ya ' Maadili ' ya Kazi zao hizo. Halafu Kinachonishangaza zaidi wakati Walinzi ( Bodyguards ) hao wa Rais wa ' Madafu Nation ' wakiwa wanazidi Kunenepeana tu Yule Mpambe wa Rais ( ADC ) Yeye yupo vile vile na anaonekana yupo ' Fit ' na anazingatia mno ' Maadili ' yake ndiyo maana hajajisahau na kuruhusu Mwili wake ' Uumuke ' ghafla kama hao anaoshirikiana nao Kiulinzi.
Ulinzi ni taaluma Mr.Wanamazoezi makali mno usione ukadhani.dont you daré..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyoniambia kuhusu huo Uwezo wao Kiutendaji unanikumbusha tu au unadhani labda sina a,b,c's zao. Sina tatizo na hilo ila wasijiachie sana Kimiili basi!