Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

Yes, ni ngumu. Ila kwa wenzetu, wangekuwa wanarudi refresher courses mf miezi 3, ukirudi uko fit kabisa. Au kuna kupangiwa kazi ingine wanaingia wengine. Mf pale Vatcan, walinzi wa rais huwa na 25 yrs, ukizi tu, unapunguzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
hao utaratibu wao ni mzuri sana ila nadhani hapa kwetu hayaingatiwi sana maana labda Rais hana tishio lolote linalomkabili hivyo ulinzi unakua ki mkwara zaidi na mbwembwe, maana mfano kama juzi Mh alikua uwanja wa majimaji ila juu kuna helkopta 2 zinazunguka juu!!

Yaani hilo wazo la kujimini ati tuna amani ni kosa kubwa. Ulinzi upo vzr na mpangilio wake wanajitahidi japo ni too costful.

Wajitahidi na kupunguza ubonge. CR Ronaldo ana kila kitu na access ya misosi yote atakayo bt yuko fit kiumbile kuliko mabonge wetu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila vifaa na magari wanajitahidi sana mashaka yangu ni hawa mabonge nyanya yetu!
Yaani hilo wazo la kujimini ati tuna amani ni kosa kubwa. Ulinzi upo vzr na mpangilio wake wanajitahidi japo ni too costful.

Wajitahidi na kupunguza ubonge. CR Ronaldo ana kila kitu na access ya misosi yote atakayo bt yuko fit kiumbile kuliko mabonge wetu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watawatetea ila twende mbele na turudi nyuma hapo hamna kitu, tusidanganyane.
 
Utaanza kuisikia ooh, usiwachezee, unene sio hoja, mguse rais uone!!![emoji13] [emoji13]

Unene si hoja wakati wanakaribisha mapressure??! Utetezi haufai, warudi porini

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuelewa lolote kuhusu miili yao hiyo, hata aje rais wa awamu ya 60 utawaona na miili hiyohiyo.
 
Utaanza kuisikia ooh, usiwachezee, unene sio hoja, mguse rais uone!!![emoji13] [emoji13]

Unene si hoja wakati wanakaribisha mapressure??! Utetezi haufai, warudi porini

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂
Mkuu labda kuna mazoezi ya kuwafanya wawe hivyo.
Hao ni kama hawa policcm tu vitambi hukoo hata kukimbia wanaweza hao kweli.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu labda kuna mazoezi ya kuwafanya wawe hivyo.
Hao ni kama hawa policcm tu vitambi hukoo hata kukimbia wanaweza hao kweli.
Hata kukimbiza kuku tu watahema ka mashine ya kusaga[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom