Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

Nasikia mkulu alimsifia 'njagu' aliyejazia yaani full mayoko, akasema natama wote mngekuwa km yule policie so hii ishu ikaleta chuki kwa wazee wa mashati, na upinzani ukaanza hapo.

5/5
Sasa Polo nyinyi wote ni maraia mnagombania nini tena??Yani hicho ndiyo kisa cha kupigana ipo siku mtarushiana risasi na walibutuana mbele ya mkulu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizani kama unaelewa protocol ya usalama sijaona kitambi apo nimeona mwili achanisha kitambi na mwili hivi mtu wa usalama aliyebobea katika kuangalia usalama wa Rais lazima awe komando ?

Lazima utofautishe kiasi Kati ya mtu anayehakikisha ulinzi wa Rais na mlinzi wa Rais , anayehakikisha ulinzi wa Rais maana yake yeye ni intelijensia anazuia tukio kabla halijatokea mostly na yupo na jopo kubwa la walinzi wa Rais wasioonekana na wanaoonekana.

Boadguard aliyepo nyuma ya Rais ndio komandoo yeye yupo tayari kwa lolote kupambana kuokoa maisha ya Rais .

Kwahiyo hatuwezi kuwahukumu kwa kuwa na vitambi kazi yao kubwa wanaofanya ndio maana unaona ni vigumu sana Rais kudhurika.
NYUMA YA RAIS SIO BODI GADI NI mpambe (AIDE DE CAMP)
 
Hizo ni pesa madafu za madafu nation. Ni vile wao hawaongei wakati wa kula so hatuwezi wajua sana
 
Sizani kama unaelewa protocol ya usalama sijaona kitambi apo nimeona mwili achanisha kitambi na mwili hivi mtu wa usalama aliyebobea katika kuangalia usalama wa Rais lazima awe komando ?

Lazima utofautishe kiasi Kati ya mtu anayehakikisha ulinzi wa Rais na mlinzi wa Rais , anayehakikisha ulinzi wa Rais maana yake yeye ni intelijensia anazuia tukio kabla halijatokea mostly na yupo na jopo kubwa la walinzi wa Rais wasioonekana na wanaoonekana.

Boadguard aliyepo nyuma ya Rais ndio komandoo yeye yupo tayari kwa lolote kupambana kuokoa maisha ya Rais .

Kwahiyo hatuwezi kuwahukumu kwa kuwa na vitambi kazi yao kubwa wanaofanya ndio maana unaona ni vigumu sana Rais kudhurika.
Acha uongo anaevaa kwanda za kijeshi ni mpambe wa rais hana ukomandoo wowote na yeye anawategemea wenye vitambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizani kama unaelewa protocol ya usalama sijaona kitambi apo nimeona mwili achanisha kitambi na mwili hivi mtu wa usalama aliyebobea katika kuangalia usalama wa Rais lazima awe komando ?

Lazima utofautishe kiasi Kati ya mtu anayehakikisha ulinzi wa Rais na mlinzi wa Rais , anayehakikisha ulinzi wa Rais maana yake yeye ni intelijensia anazuia tukio kabla halijatokea mostly na yupo na jopo kubwa la walinzi wa Rais wasioonekana na wanaoonekana.

Boadguard aliyepo nyuma ya Rais ndio komandoo yeye yupo tayari kwa lolote kupambana kuokoa maisha ya Rais .

Kwahiyo hatuwezi kuwahukumu kwa kuwa na vitambi kazi yao kubwa wanaofanya ndio maana unaona ni vigumu sana Rais kudhurika.
We jamaa umetuona sisi ni makende kichizi na hizo story zako.

Aide de camp unamfahamu wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari!
Leo niliamua kushangaa kidogo ufunguzi wa kiwanda cha unga wa mahindi hapa kambi ya Mlale Songea! Nimefanikiwa kuwa mbele mbele kidogo hivyo tukio zima nimelishuhudia vyema!

Kuna haka ka changamoto ka walinzi wa raisi kuwa na vitambi plus unene usio na mpangilio, hivi hii imekaaje?

Yaani na mazoezi yote wanayofanya bado wanafuga vitambi? Jeshi haliwezi kupanga refresher trainings za kuwaporomoa vile vitumbo?

Kwa nini wasijifunze toka majeshi ya wenzetu?

Raisi anakonda, walinzi wake wananenepa!

Nashauri: Mtu akishindwa kuporomosha tambi lake aondolewe kwenye list ya walinzi wa The first One!

Wanajeshi nanyi hivyo vitambi mnavyofuga mviporomoe asee! Kama mmeshindwa hilo mkapashe misuli kidogo huko makambini au in real battles!!View attachment 1066009View attachment 1066022View attachment 1066023View attachment 1066024

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitambi vipo saaana kwa walinzi wa marais.
Hao walikuwa walinzi wa Rais Obama huko Marekani
images%20(2).jpeg
download.jpeg
Podesta.jpeg
 
Hao masela wanasifiwa tu sifa za uongo... ila mdebwedo kabisa... sina mpango tu wa kumteka rais ila ningekua nao hao kula kulala wasingefua dafu
Usiamini kila kitu ambacho macho yanaona sina mengi mkuu.
 
Usiwatete, na wao wanapaswa kuwa fiti.. we sema tu nchi yetu haina mshike mshike ndio maana na wao wame relax
Sizani kama unaelewa protocol ya usalama sijaona kitambi apo nimeona mwili achanisha kitambi na mwili hivi mtu wa usalama aliyebobea katika kuangalia usalama wa Rais lazima awe komando ?

Lazima utofautishe kiasi Kati ya mtu anayehakikisha ulinzi wa Rais na mlinzi wa Rais , anayehakikisha ulinzi wa Rais maana yake yeye ni intelijensia anazuia tukio kabla halijatokea mostly na yupo na jopo kubwa la walinzi wa Rais wasioonekana na wanaoonekana.

Boadguard aliyepo nyuma ya Rais ndio komandoo yeye yupo tayari kwa lolote kupambana kuokoa maisha ya Rais .

Kwahiyo hatuwezi kuwahukumu kwa kuwa na vitambi kazi yao kubwa wanaofanya ndio maana unaona ni vigumu sana Rais kudhurika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna msoldier mmoja Yuko pale monduli Ni bonge ya burungutu.....

Alikuwa ananipiga biti eti nikitaka kimbizana naye nitangulie kukimbia Kama robo kilometer. alaf ndio aanze mbio.......nikaona ntamuaibisha street bure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom