Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

Kweli nimeamini hakuna Binadamu ' Mwembamba ' duniani labda aliyekonda na mkondaji ni GENTAMYCINE tu peke yake. Hongereni sana Walinzi ( Bodyguards ) wa Rais wa ' Madafu Nation ' kwa Kunenepa sana hadi wengine Matumbo yao yanataka Kupasuka kabisa.

Nawasilisha.
Ziara zote wanakula vizuri,Ruvuma,Iringa week hii ni kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa yupo off...

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mweusi hata Mimi ninegundua ana kauzembe Fulani yaana umakini umepungua .

Siku hizi kaanza kuwa mfuatiliaji wa hotuba za Rais na anacheka kabisa wakati mwezake alikuwa bize sana kutizima usalama wa mzee baba

Hata ADC afande nae naona hayuko makini kama brigedia naniliu yule alipewa majukumu mengine

Nani alipewa majukumu mengine...

kama vipi wamrudishw yule dada wa enzi ya msoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kuwaangalia na wa Marekani, China, Urusi, Korea Kaskazini na Rwanda naona wengi Wao ni Wembamba na Kwao Kunenepa ' hovyo ' siyo sehemu yao ya ' Maadili ' ya Kazi zao hizo. Halafu Kinachonishangaza zaidi wakati Walinzi ( Bodyguards ) hao wa Rais wa ' Madafu Nation ' wakiwa wanazidi Kunenepeana tu Yule Mpambe wa Rais ( ADC ) Yeye yupo vile vile na anaonekana yupo ' Fit ' na anazingatia mno ' Maadili ' yake ndiyo maana hajajisahau na kuruhusu Mwili wake ' Uumuke ' ghafla kama hao anaoshirikiana nao Kiulinzi.
Hao wa Rwanda ni wembamba kwasababu ya roho mbaya zao za chuki chuki.Watu kama hao watanenepaje.We humuon yule mtu mrefu wao,licha ya kuwa top wa vyote lakin bado mkondefu..Roho mbaya haijengi
 
Nope yule jamaa white alikuwa makini sana USO mbuzi full uroboti .

Hata MJ nae mlinzi wake yule mchizi tall mwnyewe macho ya kusinzia alikuwa makini USO mbuzi sura ya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
ila kama umewahi kubahatika kuona kwa macho event moja ya Mkulu kuna vijana hawapatagi bahati ya kupigwa picha wako vizuri balaa wamekomaa sura hadi wanatisha hadi hua najiuliza kwa nini hawa mabonge wasiwekwe chonjo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengi walivyo hata akipata kazi kwenye kampuni nzuri inayojari wafanyakazi wake kwa kuwa na canteen yenye menu nzuri basi unenepa kama kiboko.

Kinachowacost hawa jamaa kwenye misafara ni bufee, kuanzia breakfast hotel nyingi ni buffee, nchana buffee na usiku buffee na wanashushia na bia na hakuna muda wa gym kwenye ziara.

Miaka ya nyuma wakati nafanya kazi za tours nilimsindikiza mgeni airport sasa tuliwahi sana kabla ya muda wa check in, tukapanda pale juu Flamingo yule beberu akalipia buffee mimi na yeye 50,000= yeye akawa busy kula salad na clips mimi nikaondoka na kuku mzima kwanza, kisha nikaanza na king fish hapo sigusi kabisa mchele, kuna muhindi superviser alinikata jicho la hatari nikaona anaagiza wadada waongeze kuku kwenye dishes nikawarudia tena, remember ukilipia buffee no limit na sisi tulikaa pale more than two hours kusubili check in na bia tukawa tunakunywa kwa cash lakini yule Muhindi hawezi kunisahau maisha yake yote. Buffee inawapa sana faida huwezi kula thamani ya uliyolipia ila wakikutana na vivuruge huwa tunaover spend.
Dahh,na mimi nilienda kwa mabeberu,nikaingia mghahawa mmoja wa Wachina,buffet € 13.50,ebhana kuna steak ya bata ya kuchoma mixer na bia tani yako sijawa kuila sehemu yoyote,hiyo hata Mabeberu wenyewe wanarudia hata mara saba,Mzalendo mimi hilo chimbo nilikuwa lazima niwahi mapema kila siku utadhani nakwenda kupanga viti.
Hiyo tonnage nnayopiga sili tena mpaka kesho yake mida kama hiyo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
INSHOT NI KWAMBA, WALINZI WA RAIS , MIILI YAO NDO SILAHA YA KWANZA KWAO, MFANO RISASI IKIPIGWA INATAKIWA KUWAFIKIA WAO KWANZA ASEEE KULIKO "V.I.P"
ULE MSEMO WA "AFE PUNDA AFE KIPA....(malizia)" NDO UPO APPLICABLE KWA KAZI YAO,"
 
Wale "wanaovaa" suti "wametandikwa" na "wanaovaa unyeke mwekundu" "wazee wa kuvimba" efu efu yuu jana Njombe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom