Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

Kwani kuna siri gani pale rafiki? Yaani kunenepa ndo uone hatuelewi? We might know more than u think u know papaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha siyo kila kitu utakijua, hujui ndiyo maana unauliza.

Wataendelea kuwa na miili hiyo hata kwa rais wa 2080, hujui ipi ni sababu ndiyo maana unapata taabu na kutumia nguvu kubwa.
 
We nawe kujitia ujuaji kumbe hamna kitu. Haya hicho unachokijua kiko wapi? Au ni mmoja wao unatetea litambi lako nini!!
Sibishani mara zote na watia ugoro kwenye nyeti zao kukata kiu ya mapenzi.

Nenda kijiweni mdanganyane juu ya ulinzi wa rais ambao hujui hata protocol zake.
 
Sibishani mara zote na watia ugoro kwenye nyeti zao kukata kiu ya mapenzi.

Nenda kijiweni mdanganyane juu ya ulinzi wa rais ambao hujui hata protocol zake.
Kumbe i was right😂😂😂😂😂😂
 
Habari!
Leo niliamua kushangaa kidogo ufunguzi wa kiwanda cha unga wa mahindi hapa kambi ya Mlale Songea! Nimefanikiwa kuwa mbele mbele kidogo hivyo tukio zima nimelishuhudia vyema!

Kuna haka ka changamoto ka walinzi wa raisi kuwa na vitambi plus unene usio na mpangilio, hivi hii imekaaje?

Yaani na mazoezi yote wanayofanya bado wanafuga vitambi? Jeshi haliwezi kupanga refresher trainings za kuwaporomoa vile vitumbo?

Kwa nini wasijifunze toka majeshi ya wenzetu?

Raisi anakonda, walinzi wake wananenepa!

Nashauri: Mtu akishindwa kuporomosha tambi lake aondolewe kwenye list ya walinzi wa The first One!

Wanajeshi nanyi hivyo vitambi mnavyofuga mviporomoe asee! Kama mmeshindwa hilo mkapashe misuli kidogo huko makambini au in real battles!!View attachment 1066009View attachment 1066022View attachment 1066023View attachment 1066024

Sent using Jamii Forums mobile app
Imekaa kiintelegensia Zaidi.
 
mleta mada ninaunga mkono hoja yako.

huyu ni mmoja ya walinzi wanaoambatana sana na rais. kadili siku zinavyoenda anazidi kutoka kitambi. wajifunze kwa walinzi wa marais wa nchi zingine.

hata museven na kagame licha udikteta wao, kwenye misafara yao huwezi kuona mlinzi mwenye kitambi.
IMG_20190409_144433.jpeg
 
View attachment 1066857
Asante kwa kapicha na mchango kuntu! Museven yule ni mjeda wa kiwango cha juu hawezi kukubali walinzi wanaochoka baada ya kukimbia Km 50 tu!

Huyo broo aombe hata likizo ya muda akale mchanga wa moto na kubeba magunia ya misumali, soon atakuwa fit. Ukimuangalia vzr huo unene kaujijengea as sitaki kuamini during vetting alikuwa na huo ubonge!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom