Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

Walinzi wa Rais kufuga vitambi imekaaje?

Kweli nimeamini hakuna Binadamu ' Mwembamba ' duniani labda aliyekonda na mkondaji ni GENTAMYCINE tu peke yake. Hongereni sana Walinzi ( Bodyguards ) wa Rais wa ' Madafu Nation ' kwa Kunenepa sana hadi wengine Matumbo yao yanataka Kupasuka kabisa.

Nawasilisha.
Pesa.....
 
Kweli nimeamini hakuna Binadamu ' Mwembamba ' duniani labda aliyekonda na mkondaji ni GENTAMYCINE tu peke yake. Hongereni sana Walinzi ( Bodyguards ) wa Rais wa ' Madafu Nation ' kwa Kunenepa sana hadi wengine Matumbo yao yanataka Kupasuka kabisa.

Nawasilisha.
Watanzania wengi walivyo hata akipata kazi kwenye kampuni nzuri inayojari wafanyakazi wake kwa kuwa na canteen yenye menu nzuri basi unenepa kama kiboko.

Kinachowacost hawa jamaa kwenye misafara ni bufee, kuanzia breakfast hotel nyingi ni buffee, nchana buffee na usiku buffee na wanashushia na bia na hakuna muda wa gym kwenye ziara.

Miaka ya nyuma wakati nafanya kazi za tours nilimsindikiza mgeni airport sasa tuliwahi sana kabla ya muda wa check in, tukapanda pale juu Flamingo yule beberu akalipia buffee mimi na yeye 50,000= yeye akawa busy kula salad na clips mimi nikaondoka na kuku mzima kwanza, kisha nikaanza na king fish hapo sigusi kabisa mchele, kuna muhindi superviser alinikata jicho la hatari nikaona anaagiza wadada waongeze kuku kwenye dishes nikawarudia tena, remember ukilipia buffee no limit na sisi tulikaa pale more than two hours kusubili check in na bia tukawa tunakunywa kwa cash lakini yule Muhindi hawezi kunisahau maisha yake yote. Buffee inawapa sana faida huwezi kula thamani ya uliyolipia ila wakikutana na vivuruge huwa tunaover spend.
 
Hii sasa kejeli zimezidi wahusika mko wapi?mtu anatutukana laivu?hawa ndo watu wa kuwashughulikia haiwezekani mtu kukejeli taifa halafu anatazamwa tu kana kwanba hakuna serikali
 
Nenda jukwaa la lugha huku umepotea njia.
Sawa mkuu. Lakini pia ni vizuri tukubali kukosolewa pale tunapoandika vitu kimakosa. Mfano umeandika kimakosa maneno kama clips na crips badala ya crisps, muhindi badala ya mhindi, superviser badala ya supervisor, buffee badala ya buffet. Ukiamua kuchanganya lugha na ukakosea ikitokea umerekebishwa kwa nia nzuri basi usikasirike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom