Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,575
- 31,012
Hawa walimu Kuna mda huwa nawaza ni binadamu wenzetu kweli? Kuna vitu wanavifanya utafikiri hawajasoma vile. Wanakopa too much mpaka wanaacha kadi kwenye vitaasisi vya mikopo kama bayport na plutnum credit.
Nipo apa duka moja la mangi ananiambia walimu wote wa shule jirani huwa wanaenda kukopa unga, sukari hadi kiwembe cha Mia, jambo Zito mpaka mkuu wa shule kaacha kadi kwa madeni madogo madogo kwahiyo mangi huwa anatoa pesa yake itakayobaki anampa ticha
Jambo bovu na lakijinga hawa watu Kila kazi wanataka mpaka za sensa na uchaguzi labda kwasababu mishahara yao midogo ila yaliyotokea oktoba 29 main source ni walimu.. Vituo vyote vya kupigia kura wasimamizi wakuu walikuwa ni walimu nandowalishiriki kutiki makura feki. Hawa watu hawa dahhh!!!