Walimu wa kiume baadhi mjiheshimu

Walimu wa kiume baadhi mjiheshimu

Mungu aepushe, yes kuna umri ndiyo Sikatai,

lakini kwa vitoto vya kidato cha kwanza hapana.

Kuna mfano mama kanipa jana, alisema hivi zamani tulizaa tukiwa na miaka 18+, kwasasa hii miaka 18 binti yupo chuo, sasa kama mama ulishindwa kujizuia na ukapata mimba,


Tangu zamani mpaka sasa ni watoto wa Kike wachache sana wanaopata ‘bahati’ ya kufika miaka 18 bila mimba ama mtoto/watoto ama kuingiliwa kimwili.


Hiyo zamani mabinti wengi (bibi na mama zetu) waliolewa wakiwa na umri wa miaka 12-14 tu na hata mpaka sasa kuna jamii zinabariki ndoa ya binti wa miaka 12-14.
 
Alikujibu kwamba....Walikua wanafanya kama kwenye Tv...🤨

Ebu tuanze na huyo mdogo wako, hiyo kama kwenye TV aliiona wapi?

Je unapata wapi ujasiri wa kumsema mwalimu wakati mdogo wako anajua hadi na mfano amekueleza?

Unajua...... nimejikuta najiukiza maswali mengi sana baada ya kupata hilo jibu la mdogo wako...🤨
Unataka kusema huyo dogo toka azaliwe hajawahi kuona tv? Swali lako linatia shaka.
 
Sana tu, malezi ni mtihani,


Kosa linaanzia hapa. Malezi sio mtihani.

Malezi ni wajibu kamili na ni kazi Kama kazi nyingine yoyote.


Mtoto wa leo ni mtu mzima wa kesho, malezi unayompatia leo ndio sehemu ya uumbaji wako wa mtu mzima huyo wa kesho.

Kwa wengine, malezi ya mtoto/watoto ni Sawa na kuvuta pumzi, kwamba ukijisahau kuivuta unaharibu pakubwa ama milele.
 
Hilo nalifanyia kazi coz shule ipo kitaani hapa hapa, na huyu kijana ni mgeni tu.
Sasa kama unalifanyia kazi ulileta la Nini hapa? Wewe taja shule hiyo, kuficha jina la shule hiyo maana yake hutaki mabadiliko. Siku akipewa mimba mdogo wako usije hapa kulalamika maana utakuwa umezoea kuficha wahalifu wa namna hii mashuleni Kwa kusingizia eti mwalimu Bado mgeni.
 
Sasa kama unalifanyia kazi ulileta la Nini hapa? Wewe taja shule hiyo, kuficha jina la shule hiyo maana yake hutaki mabadiliko. Siku akipewa mimba mdogo wako usije hapa kulalamika maana utakuwa umezoea kuficha wahalifu wa namna hii mashuleni Kwa kusingizia eti mwalimu Bado mgeni.
Nilileta hili usome,na wasome,



Tusiombeane mabaya[emoji1317],


Kikubwa kusimamia malezi,na malezi kwasasa ni mtihani.
 
Ndivyo ilivo na pia wazazi wa siku hizi bado hatujielewi, imagine hapa hapa kuna mtu wa ovyo anasema form one si wadogo sana.

What if ni form 1 mwenye umbo kubwa au akifika form 2, huu ni ujinga sana.
Kweli, kwa baadhi inaonekana ni jambo la kawaida kwa mtoto wa darasa la saba/kidato cha kwanza kuanza kujikita kwenye uzinzi.
 
Kumbe TVs zinafundisha mambo mabaya? Kwanini tunaruhusu watoto wetu waangalie?

Malezi yaanzie nyumbani.
 
Back
Top Bottom