Walimu wa kiume baadhi mjiheshimu

Walimu wa kiume baadhi mjiheshimu

Kwa huyu hapana ni bado, hata matiti bado wala ungo hajavunja na bado ana akili za kichekechea,
]
Sasa hudhani ni busara kwenda kuikabili shule ili kuondoa hicho kirusi hapo shule??

Binti hatobaki bila maziwa na akili za kitoto milele. Atakuwa na yeye atataka kujaribu aliyoyaona kwenye tv, kupelekea kujaribu na teacher.

Si kila katazo hufuatwa. Kuna umri akifika atataka kujaribu kila alichokatazwa, kaa kimya aje kujaribu na huyo mwalimu sasa.
 
Mmmh sasa viform one vya saiv si vitoto kabsa hata havijajua kufuta makamasi.
Mkuu kama ulisoma shule za kidumu na mfagio primary, lazma ulisikia ama kuthibitisha kuwa waalimu fulani walikuwa wanatoka na baadhi ya wanafunzi.

Kwa hiyo sio mapya na huwa hayaishi hadi vyuoni. Ila kwa sababu jamii yetu inachukulia mwanamke kutumika kingono ni stahiki yake na proof ya urijali wa wanaume. Hizi ndizo athari zake
 
Sasa hudhani ni busara kwenda kuikabili shule ili kuondoa hicho kirusi hapo shule?.
Mungu aepushe, yes kuna umri ndiyo Sikatai,

lakini kwa vitoto vya kidato cha kwanza hapana.

Kuna mfano mama kanipa jana, alisema hivi zamani tulizaa tukiwa na miaka 18+, kwasasa hii miaka 18 binti yupo chuo, sasa kama mama ulishindwa kujizuia na ukapata mimba,
 
Ishu ni pale wanafunzi wanapokaribiana umri na mwalimu wao.

Mabinti humuona mwalimu saizi yao tu na hufanya kila liwezekanalo watongozwe,
wasipotongozwa hujisikia vibaya na kumuona mwalimu wao ni mbaya anaringa na humpaka matope ikiwezekana humpakazia kashfa nzito kuwa huwataka kimapenzi na huwashika matiti na makalio.

Haya mambo yapo kuanzia shule za msingi mpaka vyuo.

Tumeyaona tukiwa wanafunzi na tukiwa walimu, tena tukawa ni wahanga wa kupakaziwa kashfa hizo.

Wanafunzi wa kike wanaweza kukuharibia kazi usipokuwa makini nao, wanaoneana wivu balaa.

Ni kujua tu wako kwenye foolish age na wana mihemko mikubwa kutaka wafanye mapenzi hata na mwalimu wao wanayem feel vichwani mwao.

Msingi na sekondari ikibainika unalabua wanafunzi unafukuzwa kazi na utumishi ikibidi unapelekwa mahakamani kushitakiwa huko.

Ni mabinti wazuri wamenawiri na wanavutia ila inabidi ujidhibiti tu ili usikutwe na hatia hatimaye kupoteza kazi.

Ni tabia za makuzi inabidi uzitambue uonapo wanafunzi wa kike wanahemka kutaka mapenzi wakaushie
 
Shule gani? Mwalimu anaitwa nani? Hapa JF waziri wa hiyo sekta n mwanachama. Tafadhali toa details ni rahisi kufuatilia na kuchukua hatua, vinginevyo unafurahisha baraza au unafurahia mwanao kuliwa mate na mwalimu unayemuita Sharobaro.
Vizuri, Kwanza anapaswa apate uhakika

Mhhh, Mtoto gani wa form one sasahv atakuambia

"Wanafanya kama kwenye TV" ?

Watoto wa Primary wenyewe sikuhizi hawasemi hivyo, wanajua mambo mengi sana na namna ya kuwasilisha
 
Huyo Mdogo wako anasema Kama kwenye Tv maana yake huyo kashakuwa na Akili za ngono then mtoto mpaka anafika kidato Cha kwanza Hawa wa dumu fagio lazima anakuwa hii michezo anaijua kias chake

Hizi shule za bei Rahisi zina negative impact Sana kwa watoto maana mtoto anaweza kuwa katulia lakini akapotea

Mkuu unaruhusu watoto wako watazame watu wananyonyana katika Tv yako then mtoto wa kike bora hata angekuwa wakiume unajua mtoto wa kike akiwa na umri Kuanzia 12-years tayari anakuwa na hisia za kufanya ngono kuwa makini katika malezi yako hayo mabovu
 
Assalaam,


Ni hivi nina kawaida ya kuwahoji wadogo zangu maisha ya shule na marafiki wao wa aina gani?

Nina wadogo zangu wawili wapo kidato cha kwanza, na shule wanayosoma ni mpya ipo kidato cha kwanza tu,

Leo niliwauliza vipi shule kuna walimu wa kiume vijana wangapi?? Madogo wakasema wapo wanne, wawili ni watu wazima lkn wawili ni masharobaro,

Nikawapa onyo/vitisho kuhusu hao vijana,yaani wasidanganyike maana ni bado wapo na akili za kitoto sana,

Mmoja akasema kuna siku nilikuwa napeleka daftari ofisini nikamkuta ticha na fulani walikuwa wanafanya kama kwenye tv,,,,,,,,,,,nikamuuliza walikuwa wanafanyaje?? akasema walikuwa wananyonyana mate huku wamekumbatiana,

Aisee na huyu ticha ana mke na mtoto,

Walimu hii haipo sawa,waacheni watoto wasome,wewe ushasoma na upo kazini,imagine mtoto wako anafanyiwa hivyo kama unavyomfanyia mtoto wa mwenzio??

Msiwaharibie future wadogo zetu nao wanataka kuwa kama nyie.


Mjitahidi kubalance hiyo mihemko,
Aibu Sana. Kuusikiliza mwili na tamaa zake ni kuitafuta "jehanamu"
 
wala simlaumu mwalimu hata vitoto vikipewa mimba unajua kwanini ?
vitoto vya miaka hii vimeshindikana, umalaya, tamaa na udangaji wanaanza wakiwa huko shuleni

majuzi niko kwenye daladala, wanafunzi wakike watatu wakapanda, form 2,
stori nzima ya route ya 30km walikua wanaongelea mapenzi, couples shuleni kwao , flani ana date na flani, tena wao kwa wao, etc
baadhi ya stori mpaka nilikuwa nasisimka kabisa na kudinda

stori za kukompea miili yako, flani ana tako kubwa kuliko flani, flani anakatika vizuri kuliko flani, ki ukweli nawaonea huruma sana walimu wakiume huko mashuleni


hao wanafunzi wa kike ndiyo wanaojitongozesha, na hao wadogo zako waache unafiki
 
Assalaam,


Ni hivi nina kawaida ya kuwahoji wadogo zangu maisha ya shule na marafiki wao wa aina gani?

Nina wadogo zangu wawili wapo kidato cha kwanza, na shule wanayosoma ni mpya ipo kidato cha kwanza tu,

Leo niliwauliza vipi shule kuna walimu wa kiume vijana wangapi?? Madogo wakasema wapo wanne, wawili ni watu wazima lkn wawili ni masharobaro,

Nikawapa onyo/vitisho kuhusu hao vijana,yaani wasidanganyike maana ni bado wapo na akili za kitoto sana,

Mmoja akasema kuna siku nilikuwa napeleka daftari ofisini nikamkuta ticha na fulani walikuwa wanafanya kama kwenye tv,,,,,,,,,,,nikamuuliza walikuwa wanafanyaje?? akasema walikuwa wananyonyana mate huku wamekumbatiana,

Aisee na huyu ticha ana mke na mtoto,

Walimu hii haipo sawa,waacheni watoto wasome,wewe ushasoma na upo kazini,imagine mtoto wako anafanyiwa hivyo kama unavyomfanyia mtoto wa mwenzio??

Msiwaharibie future wadogo zetu nao wanataka kuwa kama nyie.


Mjitahidi kubalance hiyo mihemko,
Huyo dogo muongo...
 
Shule gani? Mwalimu anaitwa nani? Hapa JF waziri wa hiyo sekta n mwanacha lol...
Hivi Waziri anayehusika na masuala ya Elimu kwa sasa ni nani? Maana kila baada ya muda fulani kupita kunafanyika mabadiliko!!
 
Alichokiona kwenye TV Mzazi huwezi kukidhibiti hata kidogo hilo siyo jambo la kulaumu
 
Shule gani? Mwalimu anaitwa nani? Hapa JF waziri wa hiyo sekta n mwanachama.

Tafadhali toa details ni rahisi kufuatilia na kuchukua hatua, vinginevyo unafurahisha baraza au unafurahia mwanao kuliwa mate na mwalimu unayemuita Sharobaro.
Hata akitoa hizo details, huyo Mwalim atafanywa nn? Ushahidi uko wapi?

Nadhani swala la msingi ni kila mzazi kusimamia nafasi zao vizuri. Wawe na tabia ya kuongea na watoto wao, na kuwapa misingi imara ya ufahamu.

Mfano huyo Binti kakutwa ananyonywa mate, lakini naamini wapo wanafunzi wengi tu ambao wanauwezo wa kukataa ilo jambo na kujisimamia kwa msisitizo.

Wazazi mkiwekeza sana kwenye utafutaji, alaf mkasahau majukumu yenu mengine, hizi lawama hazitoisha. Maana siku hizi, mtoto wa mwenzako sio mtoto wako tena, Bali ni mkubwa mwenzio.
 
Pamoja na kuwaasa walimu wajiheshimu, ila sisi kama wazazi tuna jukumu kubwa sana la kuhakikisha watoto wetu wanapata malezi bora n stahiki.

Hao wadogo zako, wanaonaga kwenye TV. Kukumbatiana na kunyonyana ndimi, unaona ni jambo la kawaida. Kwamba, wanafurahia shows.

Ila ukumbuke vitoto vya sasa balehe ni miaka 12 mpaka 15. Hao wapo form 1 au 2. Vinakuwa na mchecheto na mgegedo. Wakishawishiwa kidogo tu, na walichokiona kwenye TV, wanakuwa fundi kuliko hata wazazi wao. Ukijumlishia na vinavyojua kucheza mziki kwa kunengua, ptyuuu mbaka.

Wazazi tujitahidi kutilia mkazo malezi ya watoto wetu. Huyo hata akitongozwa, anakataa. Anajua si jambo jema.

Lawama zote tusizielekeze kwa walimu pekee. Bali sisi pia kama walezi tunastahili.


Uko sahihi sana, wazazi tuwajibike kikamilifu sambamba na walimu katika malezi ya mtoto.


Balehe kwa mtoto wa Kike tangu enzi ni kawaida miaka 10 mpaka 14. Japo wapo walioanza mapema zaidi miaka 8-9 kutokana na mazingira & makuzi.
 
Shule gani? Mwalimu anaitwa nani? Hapa JF waziri wa hiyo sekta n mwanachama.

Tafadhali toa details ni rahisi kufuatilia na kuchukua hatua, vinginevyo unafurahisha baraza au unafurahia mwanao kuliwa mate na mwalimu unayemuita Sharobaro.
Acheni kututisha
 
Back
Top Bottom