Walimu wa kiume baadhi mjiheshimu

Walimu wa kiume baadhi mjiheshimu

Assalaam,

Ni hivi nina kawaida ya kuwahoji wadogo zangu maisha ya shule na marafiki wao wa aina gani?

Nina wadogo zangu wawili wapo kidato cha kwanza, na shule wanayosoma ni mpya ipo kidato cha kwanza tu.

Leo niliwauliza vipi shule kuna walimu wa kiume vijana wangapi? Madogo wakasema wapo wanne, wawili ni watu wazima lakini wawili ni masharobaro.

Nikawapa onyo/vitisho kuhusu hao vijana, yaani wasidanganyike maana ni bado wapo na akili za kitoto sana.

Mmoja akasema kuna siku nilikuwa napeleka daftari ofisini nikamkuta ticha na fulani walikuwa wanafanya kama kwenye TV….nikamuuliza walikuwa wanafanyaje? akasema walikuwa wananyonyana mate huku wamekumbatiana.

Aisee na huyu ticha ana mke na mtoto.

Walimu hii haipo sawa,waacheni watoto wasome, wewe ushasoma na upo kazini, imagine mtoto wako anafanyiwa hivyo kama unavyomfanyia mtoto wa mwenzio?

Msiwaharibie future wadogo zetu nao wanataka kuwa kama nyie.

Mjitahidi kubalance hiyo mihemko.
Kwa nini mnawalaumu waalimu na msiwalaumu wazazi wa hao watoto?
 
Ishu ni pale wanafunzi wanapokaribiana umri na mwalimu wao.

Mabinti humuona mwalimu saizi yao tu na hufanya kila liwezekanalo watongozwe,
wasipotongozwa hujisikia vibaya na kumuona mwalimu wao ni mbaya anaringa na humpaka matope ikiwezekana humpakazia kashfa nzito kuwa huwataka kimapenzi na huwashika matiti na makalio.

Haya mambo yapo kuanzia shule za msingi mpaka vyuo.

Tumeyaona tukiwa wanafunzi na tukiwa walimu, tena tukawa ni wahanga wa kupakaziwa kashfa hizo.

Wanafunzi wa kike wanaweza kukuharibia kazi usipokuwa makini nao, wanaoneana wivu balaa.

Ni kujua tu wako kwenye foolish age na wana mihemko mikubwa kutaka wafanye mapenzi hata na mwalimu wao wanayem feel vichwani mwao.

Msingi na sekondari ikibainika unalabua wanafunzi unafukuzwa kazi na utumishi ikibidi unapelekwa mahakamani kushitakiwa huko.

Ni mabinti wazuri wamenawiri na wanavutia ila inabidi ujidhibiti tu ili usikutwe na hatia hatimaye kupoteza kazi.

Ni tabia za makuzi inabidi uzitambue uonapo wanafunzi wa kike wanahemka kutaka mapenzi wakaushie
Kumbe walimu mnafaidi vitotoz kabisa. Aisee kumbe kuwa mwalimu wa kiume raha sana.
 
Kulea mtoto wa kike ni shughuli pevu, mbaya zaidi ukute mama yake naye ni mdoli utatokwa jasho zito. Kina mama wengine wanalea watoto wao wa kike vibaya sana. Wanawalea as if ni wadogo zao, wana share story za mapenzi hawaheshimiani. Unakuta mama anajua ramani nzima na michongo ya kimapenzi ya binti yake wala hamkemii anaona mwanae anafaidi vinono.
Sasa mama anaangalia tamthilia za mapenzi sinema zetu na watoto wake wa kike zimejaa mapenzi unategemea nini? Nenda familia karibu zote angalia vipindi wanavypenda kuangalia, sinema zetu ndio nambari one, na huko kumejaa viashiria vyote vya ngono tupu
 
Kwa nini mnawalaumu waalimu na msiwalaumu wazazi wa hao watoto?
Kwa 7bu Mwalimu tunaamini ni mtu mwenye maadili mazuri ya kumfundisha mtoto hata kama mzazi wake atakua ni boya, na ndio maana mtoto mdogo anaamini mwalimu ndio kila kitu kuliko hata mzazi, wewe ukimpiga mtoto wako ana kwambia naenda kukusema kwa mwalimu. Coz anaamini mwalimu ni zaidi ya baba.
 
waalimu ni wapumbavu sana. wanawake hata hao unawaona wameendelea, wana siri kubwa sana hawawezikukuambia, juu ya waalimu, waliwatake advantage walivyokuwa vitoto na hiyo imebaki siri yao mioyoni. kama hujamkuta mkeo bikra, majority ya hizo bikra huwa zimetolewa na waalimu, aidha kwa ngono kabisa au kipigwa vidole. na watoto huwa hawasemi kwasababu wanajua kitendo hicho ni kibaya na wanaogopa watachapwa na wazazi wao, bila kujua mzazi ndiye angemsaidia. waalimu vile watoto wanawaogopa, kuwapapatikia, huwa wanatake advatage hiyo na kuwatamani. hasa watoto kuanzia miaka 10 hadi 14 hapo. above that ni watoto lakini wanakuwa ameanza kujielewa na kama ngono wanafanya na watoto wenzao.

kuna wakati watoto wanaona kama wakiwa karibu na mwalimu, watapunguziwa viboko, wengine wanaona kama watasaidiwa kwenye masomo, wengine wanajiona ufahari tu kuwa karibu na mtu anayeogopwa darasani, na shida ni kwamba, waalimu wa kiafrika wanaona ufaharu kuogopwa, sio kupendwa, anataka aogopwe ili awe anatoa amri tu kwa watoto. tofauti na ulaya ambako mwalimu anapendwa ila haogopwi. ile wanavyoingiza uoga, ndio nafasi yao ya kuabuse watoto na watoto wachache sana watatoa siri, wale tu walioumia au walio karibu na wazazi au la apate mimba au magonjwa ndio anafunguka, la sivyo anaogopa likijulikana mwalimu atamchapa, hatamsaidia masomoni kuna fear fulani. majinga sana haya majamaa.
 
Ungekemea nyaja zote.. Dunia ya Sasa sio walimu pekee, hata madaktari, mapadree, wachungaji.. wazazi kwa watoto zao wa kuzaa kabisa!! Kemea jamii nzima tatizo limeanzia kwenye malezi... Huyo mtoto angekuwa kalelewa vzr Basi angemsema huyo mwalim.
 
Haya mambo hua nasoma naishia kukaa kimya ila ni ngumu sana kudhibiti siku hz wanafunzi ndo wanawataka walimu kipaumbele ni kwacha/randi
 
Kwa 7bu Mwalimu tunaamini ni mtu mwenye maadili mazuri ya kumfundisha mtoto hata kama mzazi wake atakua ni boya, na ndio maana mtoto mdogo anaamini mwalimu ndio kila kitu kuliko hata mzazi, wewe ukimpiga mtoto wako ana kwambia naenda kukusema kwa mwalimu. Coz anaamini mwalimu ni zaidi ya baba.
Kama utashindwa kulea mtoto wako usubiri mwalim sahau... Maadili yanaanzia nyumbani ukishindwa kumlea wewe huyo mwalm hana muda yeye pia wake wanamshinda.
 
Kwa 7bu Mwalimu tunaamini ni mtu mwenye maadili mazuri ya kumfundisha mtoto hata kama mzazi wake atakua ni boya, na ndio maana mtoto mdogo anaamini mwalimu ndio kila kitu kuliko hata mzazi, wewe ukimpiga mtoto wako ana kwambia naenda kukusema kwa mwalimu. Coz anaamini mwalimu ni zaidi ya baba.
Wacheni kutafuta visingizio bwana. Lawana wabebe wazazi yaani wewe mtoto akizaliwa anaanza kuonana na mwali au mzazi kwanza? Wazazi wa siku hizi ni mandezi tuu hamna lolote wacha watoto wao wafunzwe na dunia.
 
Huyo mdogo wako kamwonea wivu mwenzake kuliwa denda na ticha alitamani awe yeye

Hivi kwa nini wanawake huwa mnaoneana sana wivu?
Aisee, basi asubiri akue kama mwenzie lkn kwasasa bado,asome kwanza na ikibainika basi hatua kali itachukuliwa maana itakuwa katudhalilisha dada zake.
 
Assalaam,

Ni hivi nina kawaida ya kuwahoji wadogo zangu maisha ya shule na marafiki wao wa aina gani?

Nina wadogo zangu wawili wapo kidato cha kwanza, na shule wanayosoma ni mpya ipo kidato cha kwanza tu.

Leo niliwauliza vipi shule kuna walimu wa kiume vijana wangapi? Madogo wakasema wapo wanne, wawili ni watu wazima lakini wawili ni masharobaro.

Nikawapa onyo/vitisho kuhusu hao vijana, yaani wasidanganyike maana ni bado wapo na akili za kitoto sana.

Mmoja akasema kuna siku nilikuwa napeleka daftari ofisini nikamkuta ticha na fulani walikuwa wanafanya kama kwenye TV….nikamuuliza walikuwa wanafanyaje? akasema walikuwa wananyonyana mate huku wamekumbatiana.

Aisee na huyu ticha ana mke na mtoto.

Walimu hii haipo sawa,waacheni watoto wasome, wewe ushasoma na upo kazini, imagine mtoto wako anafanyiwa hivyo kama unavyomfanyia mtoto wa mwenzio?

Msiwaharibie future wadogo zetu nao wanataka kuwa kama nyie.

Mjitahidi kubalance hiyo mihemko.
Dkt. Gwajima D hebu yajenge na huyu mwananchi tukate mizizi mibaya mapemaaaa shule ndio kwanza ina form 1 alafu mwalimu ndio kama hivyo
 
Aisee, basi asubiri akue kama mwenzie lkn kwasasa bado,asome kwanza na ikibainika basi hatua kali itachukuliwa maana itakuwa katudhalilisha dada zake.
Sawa, jitahidini sana hapo nyumbani kufuatilia nyendo za huyo mdogo wako. Mafisi ni wengi sio walimu tu hata mitaani na kwenye social media
 
Back
Top Bottom