Walimu tunanyanyaswa sana

Walimu tunanyanyaswa sana

Mwalim ni kama TOILET paper ukishachamba unaitupa.

Watakujali kipindi cha Uchaguz na kukupa matumaini Lakin mwisho wa picha UTAJIJU.

DENT akizingua NAVUNJA TAYA.. Sipendagi kuonekana BOYA mimi


unafundisha shule gani
 
14595807_151696881955977_3219049678899893624_n.jpg


mwanafunzi baada ya kipigo YAAANI UMIFANYIE HIVI MWANANGU NAKUUUA
 
Haya Yote Sababu Ya Mitandao Yenu, Nilisha Waambia Natamani MALAIKA Washuke Waje Wazifunge Zote, Bila Mitandao Ya Kijamii Walimu Wangekua Salama Salimin Kabisa. Mkulu Acha Ujinga Wako
 
Kwani hakuna mwaka WALIMU mukaamua kufanya maajabu Wanafunzi Wakafaulu wooooooooote nchi nzima kuanzia AWALI hadi CHUO. ili watu wajue kuwa hii kazi si mchezo!!![fasihi}
 
HII KAZI BORA MUACHE KAMA MWALIMU ANAPGWA HADI VIBOKO NA WAKUU WA WILAYA
Mbona madaktari walikula kichapo kule mtwara nao waache?
Hizo ni career hazards or risks.
Tena ze recently sagga watu wamechomwa moto kabisa na gari lao juu. Walimu hatujawahi kupigwa kiberi aiseh!!
 
Mbona madaktari walikula kichapo kule mtwara nao waache?
Hizo ni career hazards or risks.
Tena ze recently sagga watu wamechomwa moto kabisa na gari lao juu. Walimu hatujawahi kupigwa kiberi aiseh!!
mkuu mi nahisi wanalalmika sababu wao ni kama wanaadhibiwa na serikali,au viongozi wakuu wa nchi na sio na wananchi.au ni kwamba walimu wao wametwikea mzgo mkubwa sana wa lawama na uonevu.so ivo vitu sio vzur
 
kuwafukuza hao "walimu wanafunzi" wamefanya vibaya Mimi naona wangepigwa demotion kutoka hiyo degree wanayo tafuta hadi certificate
 
hyo laki tano bado wakati watu tupo unemployeed na kuitamani hyo unayosema bado, sasa kwa sisi 0 earners utasema nn, pesa ni pesa bana hyo ndo kauli ya kule
Hiyo laki 5 bado sana kwa maisha ya sasa hivi! Badala mpiganie maslahi yenu mnakuwa "Defensive!" Nina wadogo zangu walimu, hivyo najua nachozungumzia ..
 
Fundisha lakini usiangaike na mtoto wa mtu acha apambane na wazazi wake!..mtoto si wako unamrekebisha bdae unageuziwa kibao ya nini?acheni kila mzazi apambane na mtoto wake atajijua mwenyewe.wazazi wenyewe ndio hawa wanashabikia ujinga hamna kitu ni hewa tu!..
Hadi hapa sijaona kosa lolote mkuu upo sahihi 100% big up, WAKIMWAGA MBOGA TUNAKULA UGALI! HATUTAKI UJINGA SISI
 
Ikikatwa makato hiyo unabakiza Tshs ngapi? Na ni kwa mwalimu wa degree nafikiri! Je! Hao wa msingi?
Walimu wanatofautiana sana, nilishangaa kuona mwalimu wa shule ya msingi analipwa Karibia Tshs mil 2.8, ila alikuwa na muda kama wa miaka 5 asitaafu.
 
Kwan uko wap nije na vijana wanne tukushushie kipigo kama kile ili uone kama walichokitenda wenzio kilikuwa sawa.
 
Back
Top Bottom