Walimu tunanyanyaswa sana

Walimu tunanyanyaswa sana

Tsh565,000 ndio wanabaki nayo,sasa kwani hujui kuwa walimu wa sekondari wana degree.
Na wa msingi ni Tsh419,000 hivyo bado umepotosha hapa.
Pia msingi kuna walimu wengi wana degree.
Hiyo laki 5 bado sana kwa maisha ya sasa hivi! Badala mpiganie maslahi yenu mnakuwa "Defensive!" Nina wadogo zangu walimu, hivyo najua nachozungumzia ..
 
Kazi ya mwalimu ni ngumu, na aifanya kwa ari japo changamoto zinawapata kutoka kona zone za wahusika ; wizara, wanafunzi, wazazi na jamii kwa ujumla. Tunahitaji kuwa na waalimu pamoja.
 
Hoja inatetea upande wako kama mwalimu lkn jua skopioni ni yeye na hajafanya katika sekta but huyo mwalimu ni kafanya ujinga katika wizara kubwa tz nakipndi kibaya. Wacha muwajibishwa et skopioni wee
we km sio mwalimu umefata nin
 
Mwalimu ni mlezi wa mwanafunzi akiwa shuleni mbali ya nyumbani. Na anapofanya makosa anapaswa kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo ambazo ziko wazi ktk shule zote nchi nzima .
Lakini walimu kwa frustrations zao wamekuwa wanawapiga mateke, ngumu, na makofi hadi kuwashambulia mithili ya kuadhibu jambazi.
Huu si ubinadamu na inatia huzuni, hasira na simanzi kwa mzazi anayeangalia picha ya video wakati mtoto wake akishambuliwa badala ya adhabu iliyoainishwa kisheria

.
 
Chuo mnafundishwa kuandika bila nukta,koma na aya?
Hivi wewe unaweza kumfundisha mwanafunzi?
 
Hiyo laki 5 bado sana kwa maisha ya sasa hivi! Badala mpiganie maslahi yenu mnakuwa "Defensive!" Nina wadogo zangu walimu, hivyo najua nachozungumzia ..
Tatizo mwanzo umekuwa muongo wakati hujui,inatosha sana kwa mwalimu aliyejitambua na kutumia muda wake wote kufanya mambo yake na shuleni kwenda kama ushahidi.
 
Kazi ya mwalimu ni ngumu, na aifanya kwa ari japo changamoto zinawapata kutoka kona zone za wahusika ; wizara, wanafunzi, wazazi na jamii kwa ujumla. Tunahitaji kuwa na waalimu pamoja.
Umeona watu hawajui.
 
nikiwa kama mwalimu mwanafunzi wa UDSM roho inaniuma pale mwalimu anapojulikana kafanya kosa lakini apewi nafasi ya kujitetea kwa nini kafanya kosa na anahukumiwa moja kwa moja au kushushwa cheo na selikali LAKINI mualifu sugu tena muuaji ameua au amezulu watu eti wanasema uchunguzi unaendelea wakati inaelewka kabisa na pia anapewa mda wa kujitetea lakini mwalimu hapewi badala yake inapigwa simu tu kwamba awajibishwe...kwa nin na waalifu sugu km SCMPN mpaka sasa wanamuangalia tu wakati walimu menzetu wameachishwa chuo na wengne kufukuzwa kazi......ROHO INANIUMA SANA WALIMU WENZANGU...
Ulishasema mwalimu. Hivi hujiulizi unamfundisha nn mwanafunzi ambaye ni mwalimu wa kesho?
Walimu lazima mshughurikiwe ili mjue kuwa ualimu ni kazi ya wito na sio usela mnaotaka kutuletea.
 
Mwalimu ni mlezi wa mwanafunzi akiwa shuleni mbali ya nyumbani. Na anapofanya makosa anapaswa kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo ambazo ziko wazi ktk shule zote nchi nzima .
Lakini walimu kwa frustrations zao wamekuwa wanawapiga mateke, ngumu, na makofi hadi kuwashambulia mithili ya kuadhibu jambazi.
Huu si ubinadamu na inatia huzuni, hasira na simanzi kwa mzazi anayeangalia picha ya video wakati mtoto wake akishambuliwa badala ya adhabu iliyoainishwa kisheria

.
Kwa hapa Tanzania wanafunzi wapigwe tu maana hakuna nanma.
 
HIVI WEWE NDO MWALIMU WA KIKE MWANAFUNZI KAKUSHIKA MAKALIO MBELE YA WALIMU WENZIO UTAFANYAJE? rubii
 
Kwa njinsi ulivyoandika tu kama wewe ni mwalimu kweli halafu upo UDSM elimu yetu kusonga mbele mpaka YESU arudi
 
Ulishasema mwalimu. Hivi hujiulizi unamfundisha nn mwanafunzi ambaye ni mwalimu wa kesho?
Walimu lazima mshughurikiwe ili mjue kuwa ualimu ni kazi ya wito na sio usela mnaotaka kutuletea.
Sasa watapigwa sana bila ushahidi kupatikana.
 
Fundisha lakini usiangaike na mtoto wa mtu acha apambane na wazazi wake!..mtoto si wako unamrekebisha bdae unageuziwa kibao ya nini?acheni kila mzazi apambane na mtoto wake atajijua mwenyewe.wazazi wenyewe ndio hawa wanashabikia ujinga hamna kitu ni hewa tu!..
Afu eti bado mwanafunzi akifeli mwalimu alaumiwe.......jamanii??
 
Back
Top Bottom