Walimu tunanyanyaswa sana

Walimu tunanyanyaswa sana

Fundisha lakini usiangaike na mtoto wa mtu acha apambane na wazazi wake!..mtoto si wako unamrekebisha bdae unageuziwa kibao ya nini?acheni kila mzazi apambane na mtoto wake atajijua mwenyewe.wazazi wenyewe ndio hawa wanashabikia ujinga hamna kitu ni hewa tu!..
Kila mtu ajiangalie mwenyewe
 
Kosa la Scorpion halihalalishi makosa ya walimu

Scorpion uhalifu wake ni kwa watu wazima
sio kwa watoto wadogo

walimu ni wazazi pia......hasira zenu msipeleke kwa wanafunzi
Mkuu una uhakika gani huyo alipigwa na walimu ni mtoto?.
 
Kuwa mwalimu au mwanafunzi katika bara la Afrika kunataka moyo!
 
hivi viwalimu navyo sifuri kabisa,

ona eti hiki nacho ni kimwalimu cha udsm kinaandika hovyo hovyo tu lugha za kipumbavu zisizo na nukta wala R wala L.

Unafundisha nini wewe?? tena msiajiriwe kabisa mkavae kata k zenu huko kuzimu.

viwalimu hivi bwana,

yani nyie mnaopiga watoto wa watu kama nyoka siku nikiwanasa kwenye viganja vyangu huuhh

hamna adabu, kufundisha hamjui, mnachoweza ni kupaka poda tu,
 
Mbona askari wanatoa vipigo na mnakuwa kimya.
we mzee nilikuwa nakuheshimu ila kumbe ni wa hovyo sana.

naona unatumia ID sita sita ili kutetea hivyo vijiwalimu.vyenzako.

zama za kupiga watoto wa watu kama vibaka zimefika kiama.

walimu wenyewe nyie wa BRN hamjui lolote, kufundisha hovyo, kiingereza hamjui, adabu hamna,

tena wawashushie kabisa mishahara, hamna adabu.

walimu gani hovyo hivi!!
 
Fundisha lakini usiangaike na mtoto wa mtu acha apambane na wazazi wake!..mtoto si wako unamrekebisha bdae unageuziwa kibao ya nini?acheni kila mzazi apambane na mtoto wake atajijua mwenyewe.wazazi wenyewe ndio hawa wanashabikia ujinga hamna kitu ni hewa tu!..
Good advice ndugu, tatizo wakifeli wanajibia wao(walimu). Nahisi walimu wapo dilemma
 
Ualimu ni wito hawa wameteleza kwenye hilo mtoto kama yule unapiga as if ni mwizi au kibaka mtaani!!!!Shame on you teacher unaeona wenzenu wameonewa
 
Wasubiri matokeo ya watoto wao maana wanajisahaulisha makusudi kuwa huyo walimu mnaemshambulia Leo ndiye atabaki Na watoto wenu siku zote.
Watoto wakikosa wasipewe adhabu then tuone nini kitatokea Japokuwa adhabu za jazba hazfai
 
Kati ya kazi nilikuwa siipendi ualimu ,ilifanya mpaka tukakosana na mshua Kwa kuning'aniza niende chuo cha uliamu wakati mie nataka kuwa mfanya biashara!!!
 
nikiwa kama mwalimu mwanafunzi wa UDSM roho inaniuma pale mwalimu anapojulikana kafanya kosa lakini apewi nafasi ya kujitetea kwa nini kafanya kosa na anahukumiwa moja kwa moja au kushushwa cheo na selikali LAKINI mualifu sugu tena muuaji ameua au amezulu watu eti wanasema uchunguzi unaendelea wakati inaelewka kabisa na pia anapewa mda wa kujitetea lakini mwalimu hapewi badala yake inapigwa simu tu kwamba awajibishwe...kwa nin na waalifu sugu km SCMPN mpaka sasa wanamuangalia tu wakati walimu menzetu wameachishwa chuo na wengne kufukuzwa kazi......ROHO INANIUMA SANA WALIMU WENZANGU...
Mwalim ni kama TOILET paper ukishachamba unaitupa.

Watakujali kipindi cha Uchaguz na kukupa matumaini Lakin mwisho wa picha UTAJIJU.

DENT akizingua NAVUNJA TAYA.. Sipendagi kuonekana BOYA mimi
 
Back
Top Bottom