Walimu tunanyanyaswa sana

Walimu tunanyanyaswa sana

kweli huu ni muda wa kila mtu kufanya yake. mwalimu atakua mpuuzi akiendelea kupewa adhabu na mwningulu na ndalichako kwa kumfuatilia mtoto mwenye wazazi wake.
Tatizo Walimu wengi mapoyoyo hasa wale wa msingi,yaani hawajielewi kabisa,hawawezi kuwa mgomo baridi ili kuleta madhara zaidi kwa watoto wa masikini wanaopeleka watoto wao shule za serikali.

Hivi naweza kutumia mbinu gani kuwahamasisha Walimu wa Tanzania waache kuwa busy na wanafunzi(watumie mgomo baridi bila kijionyesha kuwa hawafanyi kazi),mfano wanaandaa kila kinachohitajika lakini darasani wanawapa watoto matangopori.

Walimu hakuna anayewapenda AMKENI MSILALE.
 
utakua muhusika wewe, unapigwa kiyoyozi huku ukiwaambia wanyonge kua walimu ni maadui wa wanafunzi

Inisaidie nini mimi?

Kwani walimu wengine wanaojua na kufanya mengine hawana viyoyozi?

Ni wakati wa kujiendeleza hata biashara kama kilimo n.k.
 
Inisaidie nini mimi?

Kwani walimu wengine wanaojua na kufanya mengine hawana viyoyozi?

Ni wakati wa kujiendeleza hata biashara kama kilimo n.k.
safi fanya biashara na kilimo, mtoto atafundishwa na mwingulu na ndalichako pamoja na wazazi wake. tutakua tunahuzuria darasani tu ila sio kumfuatilia mtoto wa mtu
 
safi fanya biashara na kilimo, mtoto atafundishwa na mwingulu na ndalichako pamoja na wazazi wake. tutakua tunahuzuria darasani tu ila sio kumfuatilia mtoto wa mtu

Dah kweli unaandika haya na ni mwalimu...majanga

Hufai kuwa mwalimu, unasukumwa tu.

Kaa utakavyo na uzidi kufurahia.
 
nikiwa kama mwalimu mwanafunzi wa UDSM roho inaniuma pale mwalimu anapojulikana kafanya kosa lakini apewi nafasi ya kujitetea kwa nini kafanya kosa na anahukumiwa moja kwa moja au kushushwa cheo na selikali LAKINI mualifu sugu tena muuaji ameua au amezulu watu eti wanasema uchunguzi unaendelea wakati inaelewka kabisa na pia anapewa mda wa kujitetea lakini mwalimu hapewi badala yake inapigwa simu tu kwamba awajibishwe...kwa nin na waalifu sugu km SCMPN mpaka sasa wanamuangalia tu wakati walimu menzetu wameachishwa chuo na wengne kufukuzwa kazi......ROHO INANIUMA SANA WALIMU WENZANGU...

Pole mwalimu Vincent
 
Dah kweli unaandika haya na ni mwalimu...majanga

Hufai kuwa mwalimu, unasukumwa tu.

Kaa utakavyo na uzidi kufurahia.
umetumwa ww uje kupoza bila mslahi kwa unaempoza. kila mtu afanye yake. mm kazi yangu kupiga chaki, mtoto akileta upuuzi, atasaidiwa na ndalichako na mwingulu wanaowaaminisha kua sisi walimu ni maadui wa wanafunzi. waliowachapa walimu makofi wako wapi?
 
Kosa la Scorpion halihalalishi makosa ya walimu

Scorpion uhalifu wake ni kwa watu wazima
sio kwa watoto wadogo

walimu ni wazazi pia......hasira zenu msipeleke kwa wanafunzi
Hii Kali!!!? The boss
 
Back
Top Bottom