Agustino Regnald
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 501
- 428
Haha haya bhana Augustino
Don't bother I'm Jus kidding
Ila dogo akileta fyoko namfyokoa
![]()
na ukimfokoa kinyume cha sheria tuna kufokonyoa na sisi
Haha haya bhana Augustino
Don't bother I'm Jus kidding
Ila dogo akileta fyoko namfyokoa
![]()
Mmmmmh jamaniiHII KAZI BORA MUACHE KAMA MWALIMU ANAPGWA HADI VIBOKO NA WAKUU WA WILAYA

Samahan lakin umeshajaaliwa kupata MTT????Fundisha lakini usiangaike na mtoto wa mtu acha apambane na wazazi wake!..mtoto si wako unamrekebisha bdae unageuziwa kibao ya nini?acheni kila mzazi apambane na mtoto wake atajijua mwenyewe.wazazi wenyewe ndio hawa wanashabikia ujinga hamna kitu ni hewa tu!..
mbona waguna tena my dear?Mmmmmh jamanii![]()
waliowachapa makofi walimu wameshawajibishwaHoja inatetea upande wako kama mwalimu lkn jua skopioni ni yeye na hajafanya katika sekta but huyo mwalimu ni kafanya ujinga katika wizara kubwa tz nakipndi kibaya. Wacha muwajibishwa et skopioni wee
kesi ya gwajima inayoendelea mpaka sasa, upande wa jamuhuri walitaka kupeleka audio ya gwajima akizungumza maneneo yaliyopelekea kupata kesi hio; ila mahakama ilikataa. sasa hio video inatumikaje kutoa hukumu ya moja kwa moja bila mhusika kupewa nafasi. binafsi mm sitamfuatilia mtoto wa mtu, kila mtu atafanya yake. dogo akizingua tu, fasta haingii kwenye kipindi changu na atafundishwa na mkuu wa mkoa au baba yake au mwingulu au ndalichako. sina muda wa kujadili mambo ya mtoto asiyekua na faida kwangu sana kuhatarisha kibarua changu, muda wangu ni kuwaza kutafuta hela ili kuziba pengo la mshahara mdogo ninaopokeaIkiwa kama ya kideo hakuna haja kabisa ya kupewa nafasi ya kujitetea.
Nanyi mrekodi mkiwa mnaonewa iwasaidie hata kwa audio.
sasa mwalimu ambaye ni mzazi kamuadhibu mwanaye mkaidi anayekunja ngumi kupambana na mzazi wake. sijui ww mzazi utafanyaje mara utapotaka kumuadhibu mwanao naye akakukunjia ngumi? kuna uwezekano mwingulu na ndalichako wakaanza kwenda kuwafundisha watoto wakaidi shuleni. mimi mtoto mkaidi sitataka mazungumzo eti twende kwa mkuu, atatoka darasani niendelee na wengine. nikifanya mazungumzo sana napoteza muda wa kufikiria pesa. mshahara wenyewe huu!!!Kosa la Scorpion halihalalishi makosa ya walimu
Scorpion uhalifu wake ni kwa watu wazima
sio kwa watoto wadogo
walimu ni wazazi pia......hasira zenu msipeleke kwa wanafunzi
kweli kabisa, mwalimu kawa bata. tutafika tu mdogomdogo na elimu bure.Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha.mwalimu amekuwa bata
wale wanaopigwa na kutoka damu na polisi wenu, wao wanakua wanapewa keki!!!Kwanza Tambua upo Ndani Ya UONGOZI makini sana,nadhani ile video Mpendwa hukuangalia vizuri,ukiangalia vyema utagundua ule ni UNYANYASAJI wa waziwazi Hauhitaji DEGREE kuuona.hata mfungwa aliye ua ana HAKI zake,sijui wewe ulitaka ajieleze nini.japo kama hujapata habari mwalimu mkuu alijieleza,walimu nao walijieleza na mwanafunzi alijieleza isitoshe hata wanafunzi wengine waliojiwa na POLISI,mpendwa huyu ndo MGUFULI na HAPA KAZI TU......kiuka miiko ya kazi USHUGHULIKIWE FASTER!!!!!
Mwalimu wa wapi analipwa hivyo? Acha dharauNa salary yenu ya laki 2 na nusu! Kweli mnaonewa..!
chukua hio 565000 toa laki na kidogo ya bodi ya mikopo, kwani bodi ya mikopo wameanza kukata 15% badala ya 8%. itabaki laki nne na kidogo. hicho kiasi atachokipokea mwalimu mwenye degree kama takehome, ni sawa na posho ya polisi aliyeishia form4 kwa mweziTsh565,000 ndio wanabaki nayo,sasa kwani hujui kuwa walimu wa sekondari wana degree.
Na wa msingi ni Tsh419,000 hivyo bado umepotosha hapa.
Pia msingi kuna walimu wengi wana degree.
Haimtoshi ambaye yupo busy na watoto wa wenzake.chukua hio 565000 toa laki na kidogo ya bodi ya mikopo, kwani bodi ya mikopo wameanza kukata 15% badala ya 8%. itabaki laki nne na kidogo. hicho kiasi atachokipokea mwalimu mwenye degree kama takehome, ni sawa na posho ya polisi aliyeishia form4 kwa mwezi
kesi ya gwajima inayoendelea mpaka sasa, upande wa jamuhuri walitaka kupeleka audio ya gwajima akizungumza maneneo yaliyopelekea kupata kesi hio; ila mahakama ilikataa. sasa hio video inatumikaje kutoa hukumu ya moja kwa moja bila mhusika kupewa nafasi. binafsi mm sitamfuatilia mtoto wa mtu, kila mtu atafanya yake. dogo akizingua tu, fasta haingii kwenye kipindi changu na atafundishwa na mkuu wa mkoa au baba yake au mwingulu au ndalichako. sina muda wa kujadili mambo ya mtoto asiyekua na faida kwangu sana kuhatarisha kibarua changu, muda wangu ni kuwaza kutafuta hela ili kuziba pengo la mshahara mdogo ninaopokea
utakua muhusika wewe, unapigwa kiyoyozi huku ukiwaambia wanyonge kua walimu ni maadui wa wanafunziMmmmmmmmh!!!!!!
Kontakti mnazo saini huwa zinawaambiaje?
kweli huu ni muda wa kila mtu kufanya yake. mwalimu atakua mpuuzi akiendelea kupewa adhabu na mwningulu na ndalichako kwa kumfuatilia mtoto mwenye wazazi wake.Haimtoshi ambaye yupo busy na watoto wa wenzake.
Sifundishi kwa sasa ila nakumbuka nilikuwa natumia muda wa kazini kuwa kwenye biashara zangu.
Nashauri Walimu wajitambue waachane na kuhangaika na wanafunzi.