Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,767
- 7,860
Na mtaala ubadilishwe uwe vitendo zaidi na siyo maneno matupu yaliyojificha nyuma ya competency based curriculum
Nyakati zimebadilika.Waende na wakati.Too much is April!Mzee enzi zetu hiyo mitihani tulikuwa tunaitafuta, na tulikuwa tuna wish kila wiki tupige, shule vs shule, yaani mtu unakaa unajiuliza wiki hii wapi kuna paper . sema pia nje ya hilo ndio tulikuwa tunapatiaga na mademu 🤣🤣🤣
Ndio ccm kuna mtaala wa uchawa, nimepeleka watoto wangu wote wakawe ma Pro wa uchawa, wapate hela wakule mashangazi 🥹🥹Nyakati zimebadilika.Waende na wakati.Too much is April!
Hiyo mishangazi ina magonjwa sugu ya hatari waliyogawiwa kwenye mikesha ya mwenge.Watoto wako wajitunze.Ndio ccm kuna mtaala wa uchawa, nimepeleka watoto wangu wote wakawe ma Pro wa uchawa, wapate hela wakule mashangazi 🥹🥹
hata wakifa hawana faida kwanza matoto yenye kila nikiyauliza yanasema role mode wao mwijaku na steve akeee 😬😬Hiyo mishangazi ina magonjwa sugu ya hatari waliyogawiwa kwenye mikesha ya mwenge.Watoto wako wajitunze.
Wakane.Iambie jamii hauwajui.hata wakifa hawana faida kwanza matoto yenye kila nikiyauliza yanasema role mode wao mwijaku na steve akeee 😬😬
Acheni watoto wapewe mitihani ya kuwapima bana, ukute gharama ya mtihani haizidi 3000 , hembu ficheni umaskini wenu
Naongea na mafwele afanya yake, umenipa wazo zuri 😅Wakane.Iambie jamii hauwajui.
Labda vichwa vyao vigumuKila baada ya siku mbili.Na wikiendi ni lazima washurutishwe kwenda shuleni.
Si kweli.Huwa kuna kitu walimu wanakitaka.Labda vichwa vyao vigumu