Mkuu ivumwe umenikumbusha huyo madam wakat nipo olevel ila mwangosi hahaha mtata sana nakumbuka kesi yake etanatembea na mwanafunzi majibu yakenilicheka sana ila ivumwe pale olevel vilijaaa vichwa maji sana walimu wakqlilishajiHuyo simwaba alikuwa anakuja hadi Ivumwe kupiga pindi muda wa asubuhi sana wakati wanafunzi wengine wakiendelea na usafi wa hapa na pale.
Yupo pia mwalimu Mwangosi alikuwa mtata sana na kichwa kwelikweli kwa somo la kiswahili pale Ivumwe.
Wapo akina mwalimu madam Masaili alikuwa naye upande wa language ,Yasini upande wa GEOGRAPHY na wengine wengi kutoka IVUMWE High school.kule vilijaa vichwa vitupu hasa Advance.
Pia alikuwepo mwalimu Mgonja pale Sangu high school kwa upande wa GEOGRAPHY.
A level ndio kulikuwa na vichwa NONDO sana. Madam Masaili nitamkumbuka sana katika maisha yangu pamoja na mwalimu mkongwa kama sijakosea jina alikuwa ni makamu mkuu wa shule.walinisaidia sana.nilikiwa nadaiwa Asa kubwa sana karibu ya mwaka mzima lakini walinitengenezea kitambulisho kwa amri yao ,wakati wengine walipata taabu sanaa kufanya mtihani wa mwisho.ambapo yalikuwa ni maelekezo kutoka juu kuwa asiyemaliza ada asifanye mtihani.Mkuu ivumwe umenikumbusha huyo madam wakat nipo olevel ila mwangosi hahaha mtata sana nakumbuka kesi yake etanatembea na mwanafunzi majibu yakenilicheka sana ila ivumwe pale olevel vilijaaa vichwa maji sana walimu wakqlilishaji
Nyie nenden mkunguni bar mpya au kwa anah kule juuu mambo ya walimu yaacheniwa kizimkazi sekondary wakoment wapi
Dah umenikumbusha hao watu...mm sikuwa nasoma language ila ilinibid niwe nahudhuria vipind vya simwaba kutokana na sifa nilizokuwa nasimuliwa na wenzangu...nilikua sikosi kipindHistory - Mtefu (RIP), na Language - Michael Simwaba (RIP). Wote kwa pamoja walikuwa Meta Secondary School Mbeya; enzi hizo.
Pugu boy on the beat!Mwalimu Nzoi wa Pugu High School! Alikuwa anafundisha somo la physics! Huyu mwamba alikuwa anaingia darasani bila kitabu wala notice! Wakati niko A level early 1990s ndo alinifundisha kuderive "trajectory equations". Shida yake alikuwa tungi wa mnazi!
Inaweza ikawa ni ishu ya mapenzi??Inasikitisha, watu wanatofautiana uwezo wa kuhimili changamoto za maisha.
Ila kwa mwaka uliojiunga jf, naona wew pia bado ni mtoto.Kumbe JF tupo na watoto wetu.
Ukatoka A level na kuenda O level moj kwa moja, hahahahaMwalimu Nyemere wa Chemistry pale Mvomero Secondary mwaka 2000 alinisaidia nikaijua Chemistry na hata nilipoenda O Level PCB, Haikunitesa. Nilikuwa napoga sana yale Maorganic Chemistry.
Huyu Mwamba alinifundisha MODERN PHYSICS....ni balaa, na broken English yake, Assuming The Car is travelling with Zero VelocitiesKwa mtu uliyesoma Physics miaka ya 90 hadi 2000 lazima ushawahi msikia WIBONELLE wa Mzumbe... Mimi sikuwahi kumwona huyo mwalimu ila habari zake nilizisikia tangu mwaka 2000
Daa umenikumbusha Simwaba, alikuwa na English imenyooka balaa. Basi alirekodi tape zake kuchambua kitabu cha The river between, nilikua naenjoy sana kusikiliza. Mzee wa fimbo sita assemble, sita darasani, sita ofisini 😆😆, walitushape vizuri sana kwa kweliHistory - Mtefu (RIP), na Language - Michael Simwaba (RIP). Wote kwa pamoja walikuwa Meta Secondary School Mbeya; enzi hizo.
Hahaaaa typing error mkuu. Sikuwa nimeiona hiyo. 😀😃😄😁Ukatoka A level na kuenda O level moj kwa moja, hahahaha
Usipokariri elimu ya necta utafaulu?Mwl. Ewald Mateshi-Physics, B.W. Mkapa High School.
Huyu alikua mwalimu hasa... My all time mentor, Amestaafu sasa ila awe na uhakika kua kwangu alipanda mbegu na imeota na kustawi.
Huyu kama ulikua na kichwa cha kukariri jua tu hautaambulia kitu.
Wanafunzi wote wameokotwa Dodoma kwenye kibandaumiza.wa kizimkazi sekondary wakoment wapi