Mbaya zaidi unaweza jikuta Boyz walikua wamekupa Nick name bila ata ya we kujijua, boys akili zetu tunazijuaga wenyeweSikuwa na nickname
Mbaya zaidi unaweza jikuta Boyz walikua wamekupa Nick name bila ata ya we kujijua, boys akili zetu tunazijuaga wenyewe
mi walikuwa wananiita shika shika shule ya msingi nilikuwa navishika sana visichana mapaja darasani kipindi kile
Basii Ulikua Nayo maana Kuna Wat Walipewa Nick Name Wasiojulikanahamna sikuwa nayo, sikuwa maarufu kiasi cha watu kufikia kunijadili na kunipa nickname
C o c o a
Kuna mdada tulimpa jina magugu maji siku alipolijua alituchukia mpaka keshoMbaya zaidi unaweza jikuta Boyz walikua wamekupa Nick name bila ata ya we kujijua, boys akili zetu tunazijuaga wenyewe
hamna sikuwa nayo, sikuwa maarufu kiasi cha watu kufikia kunijadili na kunipa nickname