mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,330
- 4,853
Najua wote tumesoma humu iwe private school au day school iwe kwa wakishua au kwa makapuku, kikubwa wote tumejua kuandika na kusoma
Basi enzi naingia sekondari mwaka wa kwanza, nilikuwa mtu mpole sana, na kauzu sana yaani ilikuwa huwez nikuta nakaa na wanafunzi wenzangu wa darasa moja kupiga stori wala kuongea ongea hovyo sana
Nilikuwa napenda kukaa na wale viburi wa shule wa vidato vya juu, basi katika kukaa na hao jamaa taratibu nikaanza kuiga tabia za kukaa chaka/porini mana ile shule ilikuwa ipo pemben kidogo mwa mji yaan unatoka town unaenda soma kijijin na ile shule imezungukwa na mito pande zote
Sasa kuna siku tumekaa porini jamaa wa kidato cha nne na tatu wakawa wanakula bangi,, basi ilipo wakolea nakumbuka ilikuwa msimu wa mahindi, mabichi kumbe jamaa walibeba jiko na mkaa hukohuko toka makwao, wakaenda shamba la mwananchi mmoja wakakata mahindi mfuko mmoja wa kiroba na kuanza kuchoma
Tumekaa kidogo ticha akatokea mi nikakimbia cha ajabu nakuta jamaa hawajakimbia,nikaamua kusimama nijue why.
Nikawa nimejibanza kwenye kakichaka kuwaangalia basi ticha alipoona wanafunzi wake hata hawajastushwa na ujio wake, ikabidi awe mpole wale wanzangu nasikia tu wanamkaribisha ticha karibu karibu tupate mahindi, na ukicheki jamaa ni viburi na ni mbavu haswa
Nadhani mnakumbuka wanafunzi wa vidato wa miaka ile ya kuanzia 2010 kushuka chini walivyo mtu ukisema anasoma kidato unaweza kataa mana ni wakubwa.... basi yule ticha akawaomba wakimaliza shuhuri zao waende darasani wakajibu sawa ticha akaondoka nakuwaacha
Baadae nikajitokeza, wakawa wameniambia tabia za kukimbia hovyo mwisho leo kama umeamua kuwa na sisi kuwa kama sisi! Nikatii
Basi tukawa tunakula yale mahindi alafu tukaenda darasani nakumbuka wale jamaa madarasan kwao wakigoma leo haingii mwalimu na kweli haingii na walikuwa vipanga haswa
Ila huwakuti kujisomea na wanatoa oda nyio kazaneni kusoma ila nafasi za kwanza mtuachie sisi na kweli ukija mtihani wanashika wao
Na haya ndio tukio ya hovyo yaliowafanya wawe maarufu shuleni