WALIKUWA WANAKUITA NICK NAME GANI KIPINDI UPO SHULE?

Mmenikumbusha mbali,

Kabla sijaacha ualimu, nilipoajiriwa, Siku ya kwanza naenda kureport, nilishangaa wanafunzi wakiniita, "Mwalimu Cinderella"

Hilo jina hilo lilisambaa kwenye hiyo kata kila mtu ninapopita ni mwalimu Cinderella, mpaka natoka huko jina hadi leo lipo.

Hata wakinipigia simu mpaka leo, Mwl Cindy😁😁

Juzi nilikuwa dar posta , baada ya miaka 8 nikaskia mtu anakiita, Mwl Cindy, nilistuka kuangalia ni mwanafunzi wangu kawa kibonge mmama, nanishangaa miss😁😁nilifurahi sana.
 
Cocoa butter sio

hero-how-to-make-the-perfect-hot-chocolate-mug-of-clipper-hot-chocolate-flake-V2-600x480.jpg


Tea.
 
hamna sikuwa nayo, sikuwa maarufu kiasi cha watu kufikia kunijadili na kunipa nickname

wewe wanaume huwajui, yan kila mwanamke darasani alikuwaga ananickname yake kama code ya ninyi msielewe nan anaongelewa sisi kwetu walikuwepo kina mzunguu(mweupe sana huyu) , matakoo(huyu anabusta ya kutosha), sony wega( huyu yeye ni flat), antelope( haka ni kakimbaumbau kanamakeke sana ila bed kama mwanamke wa mcuhngaji), ahahaha nlikuwa nacheka ukiwakuta wahuni wanawachambua utasema wanafanya prematch analysis, na wanawake hakuna hata mmoja alokuwa anajua hayo majina yao waliobatizwa na masela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom