Nilitegemea Mr.korupsheni ukomenti Kiingilishi kabla nawewe sijakupa ban😁Mr. Corruption, kiranja wa Debate , Shule moja ya Seminari Maarufu. Ukiongea kiswahili nikakumata ni either ulete pesa kidogo au nikukatie ardhi ya kupalilia Orchard kilomita za mraba za kutosha.
Mh we Kama nakujua vile umesoma mbeya? MbaliziSecondary- white
Elimu ya juu- H I V