WALIKUWA WANAKUITA NICK NAME GANI KIPINDI UPO SHULE?


King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
912
Points
1,000
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2013
912 1,000
Skeleton kwasababu nilikua mwembamba Sana afu karefuuu
 
mzado

mzado

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Messages
918
Points
1,000
mzado

mzado

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2014
918 1,000
small man,
Nilikua na mwili mdogo sana enzi hizo.
 
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
10,154
Points
2,000
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
10,154 2,000
Mmenikumbusha mbali,

Kabla sijaacha ualimu, nilipoajiriwa, Siku ya kwanza naenda kureport, nilishangaa wanafunzi wakiniita, "Mwalimu Cinderella"

Hilo jina hilo lilisambaa kwenye hiyo kata kila mtu ninapopita ni mwalimu Cinderella, mpaka natoka huko jina hadi leo lipo.

Hata wakinipigia simu mpaka leo, Mwl Cindy😁😁

Juzi nilikuwa dar posta , baada ya miaka 8 nikaskia mtu anakiita, Mwl Cindy, nilistuka kuangalia ni mwanafunzi wangu kawa kibonge mmama, nanishangaa miss😁😁nilifurahi sana.
 
YOUNGBLOOD

YOUNGBLOOD

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
12,388
Points
2,000
YOUNGBLOOD

YOUNGBLOOD

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2014
12,388 2,000
Cc Daby sumbai
Hivi mlikuwa mnaniitaje kipindi kile tupo shule.
 
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
4,056
Points
2,000
EINSTEIN112

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
4,056 2,000
WENGINE TULIHAFAMIKA SHULE NZIMA NA CHUO CHOTE TUTAUMBUANA HAPA, NA KUDANGANYA SITAKI
 
M

mjanja wa kijiji

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Messages
547
Points
1,000
M

mjanja wa kijiji

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2018
547 1,000
madenge, nilikuwa golikipa hodari sana.
 
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Messages
424
Points
500
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2018
424 500
hamna sikuwa nayo, sikuwa maarufu kiasi cha watu kufikia kunijadili na kunipa nickname
wewe wanaume huwajui, yan kila mwanamke darasani alikuwaga ananickname yake kama code ya ninyi msielewe nan anaongelewa sisi kwetu walikuwepo kina mzunguu(mweupe sana huyu) , matakoo(huyu anabusta ya kutosha), sony wega( huyu yeye ni flat), antelope( haka ni kakimbaumbau kanamakeke sana ila bed kama mwanamke wa mcuhngaji), ahahaha nlikuwa nacheka ukiwakuta wahuni wanawachambua utasema wanafanya prematch analysis, na wanawake hakuna hata mmoja alokuwa anajua hayo majina yao waliobatizwa na masela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Forum statistics

Threads 1,294,192
Members 497,843
Posts 31,167,683
Top