Walichofanya HELSB sio haki!

Huo mkopo mnavyo ulilia subirni muingie job ndo mtajua hamjui
Kauri kama hizi wanatoaga wale wanaotumiwa pesa na wazazi wakiwa chuo, thamani ya mkopo chuoni ni ×100 zaidi hata ukiulipa mpaka unakufa kwa watoto wakimaskini ndio wanaelewa hilo.

Unajua wangapi wamekosa kwenda chuo kwasababu hawakupata mkopo alafu unazungumza mambo ya kulipa.
 
Wanazidi kutunyonga wanyonge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani Hslb inanyanyasa Sana wanafunzi na hizo hela utadhani siyo mkopo.
Hayo maamuzi yangefanywa na Kwenye ulipaji wa ada na direct cost maana wanafunzi wamelipa direct cost inayohesabiwa kwa siku.
 
Ndo maana vijana tuna stress nyingiii
 
Tatzo matumizi yao mabaya. Nakumbuka enzi hizo nasoma ili kupunguza matumizi watu tulichangia chumba watu wanne km njia moja wapo ya kupunguza gharama.
Mkuu siyo kwamba matumizi mabaya, unakutaka wakati mwingine unapanga na unaanza maisha ya kujitegemea mbona hyo Ni pesa ya kawaida sana? Au ulitaka tukae vyumba vya 5000?
 
Mkuu siyo kwamba matumizi mabaya, unakutaka wakati mwingine unapanga na unaanza maisha ya kujitegemea mbona hyo Ni pesa ya kawaida sana? Au ulitaka tukae vyumba vya 5000?
Chumba cha 30,000 mnachangia watu watatu. Hicho n kipind cha mpito mnapita mnasonga na maisha yenu. Au unataka ukae peke yako ili utafune dada zetu vizuri
 
Chumba cha 30,000 mnachangia watu watatu. Hicho n kipind cha mpito mnapita mnasonga na maisha yenu. Au unataka ukae peke yako ili utafune dada zetu vizuri
Mulikaa kwa utaratibu huo kipindi chote cha miaka mitatu chuo???
 
Tatzo matumizi yao mabaya. Nakumbuka enzi hizo nasoma ili kupunguza matumizi watu tulichangia chumba watu wanne km njia moja wapo ya kupunguza gharama.
Kwani amesema 120,000 kodi kwa mwezi au ni kodi ya miezi kadhaa?
 
Chumba cha 30,000 mnachangia watu watatu. Hicho n kipind cha mpito mnapita mnasonga na maisha yenu. Au unataka ukae peke yako ili utafune dada zetu vizuri
Pia tukumbukue vyumba maeneo ya karibu na vyuo bei zake hua zinakuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…