Walichofanya HELSB sio haki!

Mlipofungua tu chuo si mlipewa boom kitu kama tarehe 4 June mlipewa lak5 sasa hivi ata miez2 haijaisha mnapewa 300k mna raha Sana nyie madogo.

Tatizo mnapanga self ili mademu wakuone wa kishua kumbe wengi wenu mnatoka kajamba Nani .

Unapewa boom unaanza kununu saboofer,mtoto upo chuo kikuu ndani Una flat screen Una king'amuzi tena DStv .

Kwenu kijijini ulikotoka wazazi wanajibana ukute ndo wazazi wetu wenzangu na mm Baba na mama hawakikuona ata chuo cha certificate .Una boom bado unawapiga wazee mizinga mara mna tour ya kwenda bagamoyo laki2, semister ikiisha ikianza nyingine tour tena kondoa laki2 semister nyingine tour tena handeni tanga wapunguzieni wazazi mizigo acheni shobo mkiwa vyuoni.

Mademu utawakuta kazini piga kitabu panga nyumba ya kawaida kulingana na mazingira uliopo mfano vyuo vilivyopo iringa Moro mbeya mwanza shinyanga tabora kagera vyumba vya elfu25 mpaka 30 vipo.
 
Unadhan ata tunafanya shobo Sasa? But maisha ya chuo n magumu in nature
 
Nimepita huko ishi kawaida utatoboa event zisizo na mashiko burn it .
Sema kweli umepita huko lkn vyuo vinatofautiana mfono hapa nilipo kinachoniumiza ada na Kodi. Nokisema nikaye hostel kwenye msosi n gharama kuzidi Kodi ya nyumba ya Ni Moto Moto
 
Sema kweli umepita huko lkn vyuo vinatofautiana mfono hapa nilipo kinachoniumiza ada na Kodi. Nokisema nikaye hostel kwenye msosi n gharama kuzidi Kodi ya nyumba ya Ni Moto Moto
Arusha dar na Moshi ndiyo kunaweza kuwa na changamoto kwenye makazi vyumba bei iko juu Sana ila kama upo mikoani tafta sehemu affordable pia mnaweza kuishi wawili mkachangia room vijana wengi mnapenda ubinafsi kuishi kivyako vyako tafta mwana unae endana nae tabia mnakaa tu ..kaza buti utamaliza tu kijana
 
Malizia shule kisha ukapambane na kutafuta jero ya vocha mitaani. Ndo utajua kuwa nynya ni tunda ama ni mboga
 
We unadhan ningekuwa mkoa Kama bukoba au mbeya ningelilia Kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…