Walichofanya HELSB sio haki!

Kwa kawaida ilibidi vyo vifungwe mwezi wa 2-3 ambapo ni likizo ya mwezi kufungua mwezi wa 3-5 kulingana na karenda ya chuo husika mmefungua mwezi wa sita mmesoma mwezi mmoja au miwili vyuo vingine wamemaliza Final leo chuo means wamekaa mwezi mmoja na wiki kadhaa tu chuo wawape pesa ya boom la semister nzima ilihali mmesoma mwezi mmoja na wiki 3 asee jitafakari labda kama Mimi ndio sijaelewa iyo pesa inatosha sana wewe umeleta ulimbukeni wa kulipa kodi 120,000 ya nini au ndio mzee wa bata batani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa
 
MKUU Masha yako ni muhimu kuliko icho kidgree unacho kitafuta hapo Chuo.
 
Hao bodi ya mikopo mtawalaumu bure tu!! Kuna kubwa la maadui yupo nyuma ya sakata hilo, ambaye huenda ndio ametoa maagizo hayo, anawacha mvulugane kwanza, baadaye anaibuka na kuja kuchukua point tatu zake!!! Watu hao hao tena utasikia asante babaa, piga keleleeee!!! Tatizo analitengeneza mwenyewe halafu anakuja kulimaliza anapata ujiko!!!
 
Kumbe ndio maana dogo kanibomu hela zote zile[emoji134][emoji134]
Nilikuwa simuamini amini[emoji848]
Acha tyuuuh tuwa boom cc, hali ni mbaya kabisaah, hahahah mie tena naboom kwa kila anaenihusu aaaaah. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Amada umelewa wewe ,sio bure
 
Acha tyuuuh tuwa boom cc, hali ni mbaya kabisaah, hahahah mie tena naboom kwa kila anaenihusu aaaaah. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hivi mnajua lakini kuwa hali ni ngumu kotekote eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…